Wakaka nipeni jeans zenu....

Wakaka nipeni jeans zenu....

Nimepokea maombi hayo na kwa taarifa za Intelligensia siruhusu mtu yeyote aingie PM ya mke wangu kwa sasa mpaka pale Mungu atakaponichukua.
Sawa hubby siendi...[emoji8] na Mungu akupe maisha marefuuu sana...
 
Amen. Kama itakuwa ni uhitaji wa hali ya Juu anifate PM atume hiyo sms yake kisha nitakufowardia. Ukirudisha majibu namrudishia. Kwa hiyo mimi nakuwa Middle man. Sasa ole wake alete sms isyopendeza.
Sawa hubby siendi...[emoji8] na Mungu akupe maisha marefuuu sana...
 
Amen. Kama itakuwa ni uhitaji wa hali ya Juu anifate PM atume hiyo sms yake kisha nitakufowardia. Ukirudisha majibu namrudishia. Kwa hiyo mimi bakuwa Middle man. Sasa ole wake alete sms isyopendeza.
[emoji23] that's my msweety...
 
Back
Top Bottom