Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
- Thread starter
- #41
Shart lipi tena?nimekuombea kwa broo kasema atkupa ila kwa sharti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shart lipi tena?nimekuombea kwa broo kasema atkupa ila kwa sharti
Njoo uchukuegeNipeni mie nikuze kipaji alaa
Sawa hubby siendi...[emoji8] na Mungu akupe maisha marefuuu sana...Nimepokea maombi hayo na kwa taarifa za Intelligensia siruhusu mtu yeyote aingie PM ya mke wangu kwa sasa mpaka pale Mungu atakaponichukua.
Ndo tatizo la wadada wa JFNgoja niombe ruhusa kwa Compact
[emoji23] [emoji23] ndio lazima niombe ruhusaNdo tatizo la wadada wa JF
Sawanaona umekuja kasi humu jf utawapata wengi sana
Sawa hubby siendi...[emoji8] na Mungu akupe maisha marefuuu sana...
[emoji23] that's my msweety...Amen. Kama itakuwa ni uhitaji wa hali ya Juu anifate PM atume hiyo sms yake kisha nitakufowardia. Ukirudisha majibu namrudishia. Kwa hiyo mimi bakuwa Middle man. Sasa ole wake alete sms isyopendeza.
Shart lipi tena?
Sina access[emoji276]Anataka akuone tu
Anaogopa kugongewa halagu watu kama hawa Wanajiua pale wanapogundua kugongewa[emoji23] that's my msweety...
Hawezi gongewa....Anaogopa kugongewa halagu watu kama hawa Wanajiua pale wanapogundua kugongewa
Kuchapiwa Siri yako na MmeoHawezi gongewa....
Duh,Kuchapiwa Siri yako na Mmeo
Ni hapo tu ndo unanitoaga hofu kabisa. Yaani sina hata pressure.Hawezi gongewa....
[emoji8]Ni hapo tu ndo unanitoaga hofu kabisa. Yaani sina hata pressure.
Hebu njoo chumbani fasta nikunong'oneze.[emoji8]