The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Hahaha!! Siku hiyo hata shule hauendi...Tulivyokuwa wadogo tunakula kuku siku za sherehe. Na ninakumbuka mama alikuwa
anakumbuka sana siku zetu za kuzaliwa na tunakula kuku 🙂 baba akirudi nyumbani hata
Hakumbuki kitu ...
Vitu kama Valentine's day kweli hizo ni zimeingia muda si mrefu ...
Sina uhakika sherehe za Anniversary zimeanza lini pia TZ..
Ila Birthday ilikuwepo kitambo ..
dah, afadhali kumbe siko peke yangu nisiyekumbuka mambo hayo!!kusema ukweli hata yeye asipokumbuka yangu huwa sijali kabisa(sijui labda ni makuzi yangu ya uswahilini) na kiukweli sioni umuhimu wake sana!akinikumbusah powa.ya kwangu mwenyewe nasahau.....huko kwingne si ndio kabisa!!mungu anisaidie sana!!!!
I know zilikuwepo na kwa wazazi bado zinaendelea at least kidogo (hasa kwa mijini, vijijini hakuna kitu kama hicho) ila sasa hizi za siku hizi ni za wapenzi na hapo ndipo tatizo linapoanzia.Tulivyokuwa wadogo tunakula kuku siku za sherehe. Na ninakumbuka mama alikuwa
anakumbuka sana siku zetu za kuzaliwa na tunakula kuku 🙂 baba akirudi nyumbani hata
Hakumbuki kitu ...
Vitu kama Valentine's day kweli hizo ni zimeingia muda si mrefu ...
Sina uhakika sherehe za Anniversary zimeanza lini pia TZ..
Ila Birthday ilikuwepo kitambo ..
Hahaha!! Siku hiyo hata shule hauendi...
Hahahaha! Hii yako kali.mi sijui mnaongelea nini bwana
mimi nakumbuka tu siku niliyoachwa
Yaani niache kuwaza mahindi yangu shambani yaliyokosa mvua ni wazee hayo mambo kweli wanawake mna mambo
AD,
Please tueleze vizuri kilichokupata...tukupe pole!!!!!???
Kuna mazingira yanayofanya ukumbuke na uchukue hatua, ukumbuke na kuuchuna au usikumbuke kabisa!!
1. Kama ni mahusiano mapya au machanga... hapo lazima ukumbuke ili kum-impress mdau wako...Kumuonesha kuwa amejaza sehemu kubwa ya mambo yako..kichwa, moyo...etc, etc!!
2. Mahusiano ya uzeeni kama yetu...unaweza kukumbuka au hata kutokakumbuka...Madhara yake si makubwa kama No. 1 hapo juu!
3. Mawindo mapya...kukumbuka ni lazima na kujipendekeza ndiyo zaidi...
Mengine tutaendelea baadaye... ila pole sana mjukuu wangu....
Babu atazidi kuwakumbusha wajukuu (akina TF) wawe wanakumbuka haya mambo!!
Babu DC!!
I know zilikuwepo na kwa wazazi bado zinaendelea at least kidogo (hasa kwa mijini, vijijini hakuna kitu kama hicho) ila sasa hizi za siku hizi ni za wapenzi na hapo ndipo tatizo linapoanzia.
Anniversaries zilikuwepo ila hasa za makanisa ndio walikuwa wanasherehekea anniversary pamoja na ndoa hizo nakumbuka kuzisikia
Hahahahahaha.Yaani niache kuwaza mahindi yangu shambani yaliyokosa mvua ni wazee hayo mambo kweli wanawake mna mambo
Hahahahahaha mi amenichekesha kwa kweli .. kwa kweli mna mambo juu ya mambo ..Lohhh
Dah. . . Nina uncle wangu pale moshi kdc anapenda nguruwe wake kuliko maelezo! Yaani asubuhi kabla hajanywa chai lazima nguruwe wale! Mtoto akitaka kutoka au hata mkewe sharti alishe nguruwe kwanza. Dah
Hahahahaaa pole utagonga like hata kesho usijaliDahhh nimeingia Via mobile sasa ..
karohoo kaniuma siwezi kutoa LIKE kwenye
Posta Nzuri kama hii ..haina mbaya ntapitia kesho ..
Anyway kwa hiyo tukubaliane tu hivi vitu vina umuhimu fulani katika mahusiano ...
Vinaonekana vidogo lakini vinaweza kumpa mtu furaha ya ajabu ... na ni majukumu kwa jinsia zote mbili kutilia maanani unless wewe na mweza hamvi amini .. then hamna mbaya
Hahahahaaa pole utagonga like hata kesho usijali
Yeah mi nakubaliana na wewe kwamba vina umuhimu mkubwa sana hasa nyakati za sasa hivi kwasababu hatuwezi kuishi maisha ya miaka ya 1990 sasa. Kingine najua wanawake wanahitaji sana kujaliwa na watu wanaowapenda and i know how appreciative they are so ni jukumu la wanaume pia kujua hilo.
hahahahaKwani mimi huwa nasahau ya kwako ila tokea ulipomuweka Kimey kuwa lawyer wako ukaharibu kila kitu...ila nahisi kuna wale wanaosahau na kuna wale ambao wanaona haina umuhimu sanaa..
hahahaha
Afro mama, lini birthday yako nikukumbushe ?
hahaha kwani hatuwezi ku un do divorce ? namuona TF siku hizi kawa kijana mwemaDahhhh yaani lawyer nilikuwa Ntakutafuta kipindi chote hiki mkuu sijui ulipotelea wapi ..
Anyway I hope u mzima kabisa ..
Birthday yangu angalia tu juu ya zile "divorce papers."
Mzima lakini?
hahaha kwani hatuwezi ku un do divorce ? namuona TF siku hizi kawa kijana mwema
sasa tufanye reconciliation si ndio?