AD,
Please tueleze vizuri kilichokupata...tukupe pole!!!!!???
Kuna mazingira yanayofanya ukumbuke na uchukue hatua, ukumbuke na kuuchuna au usikumbuke kabisa!!
1. Kama ni mahusiano mapya au machanga... hapo lazima ukumbuke ili kum-impress mdau wako...Kumuonesha kuwa amejaza sehemu kubwa ya mambo yako..kichwa, moyo...etc, etc!!
2. Mahusiano ya uzeeni kama yetu...unaweza kukumbuka au hata kutokakumbuka...Madhara yake si makubwa kama No. 1 hapo juu!
3. Mawindo mapya...kukumbuka ni lazima na kujipendekeza ndiyo zaidi...
Mengine tutaendelea baadaye... ila pole sana mjukuu wangu....
Babu atazidi kuwakumbusha wajukuu (akina TF) wawe wanakumbuka haya mambo!!
Babu DC!!