Wakaka wavivu wa kuoga jua kali, muoge mtanuka

Ukiona mwanaume amepitiliza kuoga na ananyata sana ujue ana tabia za kike
 
Yaani majuzi tu (Ijumaa) nilikuwa maeneo ya Posta mpya kwenda kuchukua barua zangu nikakutana na mdada na nikampa lift.....mdada ni mzuri ile mbaya. Aliniboa alipovaa magunia na hijab na alikuwa ananuka makwapa nahisi hata na chupi pia, ilinibidi nifungue vioo vya gari na pale pale hisia ya kutaka mtongoza ilinitoka. Yaani joto hili unavaaje magunia na hijab?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] saivi ni msimu wa kuvaa nguo nyepesi
 
Mimi nimeoga dakika chache zilizopita ingawa maji ya kupima ila naamini nimetakata[emoji2]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] saivi ni msimu wa kuvaa nguo nyepesi
Sielewi kwanini hawajuwi hili, au mtu unavaa jeans kwenye hili joto...Waafrika tunajivalia tu nguo bila kujuwa uhalisia wake. Joto la Dar mwanamke unadiriki kuvaa magunia kweli?
 
Sikiliza mtoa mada kwani kwapa Kako langu, kunuka upindo WA boksa wako wanguuu...mke wangu walaaa hapati shidaa...Bora niinjoii kikirikikiikiii joto lenyewe fupiii hiliii kwanini uteseke rohooo na wewe usiogeee njooo
πŸ˜‚
 
Sio wanaume wote wachafu, ila wanaume wengi wanazingua ni wachafu alafu bado pesa hawana....mimi kama mimi huwa naoga kila siku, ingawa nipo sehemu za baridi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…