Wakaka wavivu wa kuoga jua kali, muoge mtanuka

Wakaka wavivu wa kuoga jua kali, muoge mtanuka

1691784086034.jpg
 
Michael Jackson mwaka 1972 alipotua na ndege Bongo alishika pua akisema kuna harufu mbaya.
Hii story ndefu sana, watu wakazusha eti aligeuza pale pale akarudi zake USA lakini wapi jamaa alifika mpaka pale Ikulu akaonana na Mwinyi na wakapiga story fresh
mj1.jpg
 
Hii story ndefu sana, watu wakazusha eti aligeuza pale pale akarudi zake USA lakini wapi jamaa alifika mpaka pale Ikulu akaonana na Mwinyi na wakapiga story freshView attachment 2785777
Kuna stori nyingi kuhusu ujio wake.

Moja nyingine ilikuwa inadai jamaa alipofika Bongo alikutana na joto kali sana. Kwa hiyo muda mwingi akawa anatembea anajifuta uso na kitambaa chepesi (leso)

Sasa wakati yupo public wananchi wamejaa wanamtazama akatoa leso ajifute jasho.

Wakati wa kuirudisha ile leso mfuko wa nyuma, leso haikuzama yote mfukoni, sehemu ya leso ikawa inaonekana.

Basi unaambiwa kesho yake vijana wa miaka hiyo kila mtu akawa ameweka leso mfuko wa nyuma ina ning'inia.

Wasiokuwa na leso waliweka shati, wengine walienda mbali wakaweka hadi shuka mfukoni wakimuiga Michael Jackson wakidhani ni unyamwezi kumbe MJ aliweka leso kwa bahati mbaya tu.
 
Bado unautoto, ukiwa mwanaume utajua...
Sister umekariri na aliekwambia kakudanganya.

Sister utoto na knowledge ni viwili tofauti, nawezekana kwako nikaonekana mtoto but knowledge haina umri.

Kuna vitu vingi vinasababisha K kunuka kama Infections lakini pia Poor hygiene inaweza kusababisha K kunuka, unabisha hadi unanishangaza🤣

Mwite huyo Doctor wako aje hapa anipinge.

DR Mambo AMP
 
Na wadada ogeni vizuri jamani
Sugua kwapa hizo
Sugua mstari wa ikweta huo
Sugua masikio
Kucha ziwe Safi
Sugua gaga
Badilisha hiyo pedi
Fanya steam bath baada ya siku zetu zile
Sugua huo ulimi,sugua kakaa gumu,sukutua hadi kooni toa hiyo harufu
Safisha hiyo pua
Nenda sauna walau Mara moja kwa mwezi kama unaweza afford ni elfu kumi..fanya scrub huo mwili ulainike wewe sio azizi Ki

Au basi....nitakuja na uzi wangu!!!!
Bora dada uwape na ukweli wao wanaojiona wao ndio wasafi sn 24/7 km malaika walio na miili ya plastic na sio ya nyama km sie
 
Kuna kimoja umekisahau sana sana mabonge jamani kuna weupe fulani hivi upo sehemu huwa siupendi kabisa wajifunze kutumia dawa bhna...
Unakuata ukinjua kuna harufu fulani hivi inakera
Wale mabonge chini ya maziwa akiwa kwa juu yko hv mnanyanduana basi ile harufu ni shida mwshowe hd mzuka unakata chololoo inalala
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari tajwa...

Kama ilivyo hali ya jua sasa ni likali sana, sio kwa wakazi wa Dar tu na maeneo mbalimbali...

Sasa nasema hivi unaanzaje kuacha kuoga na jua kama hili..

Naongea na nyie wakaka ambao hamtaki kuoga mnanawa nawa tu...

Mnajijua nyinyi ambao mnavaa nguo kwanza ndo mpige mswaki...

Ndio nyie ambao mnavaa nguo hasa suruali mnarudia wakati hamuogi...

Mnabisha nini wakati hamuogi mnanuka kwapa kama Nini...

Nasemaje muoge jua limekuwa kali sana, Tena muoge mtakate sio kujimwagia maji..

Mara sisi wakaka hatunuki, acheni kujipa sifa za kijinga joto ni Kali..

Kila sehemu zilizojificha zinamwaga maji, kama kwapa na kule...

Nimesema muoge mtakate sio kupiga paspoti..

Tunakumbushana tu...
Kwani nawewe dada kisirani au🤔
 
Back
Top Bottom