Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Yote heri kosa kuonja urojo wa coco beach na dada zetu ha2ataki kuondoka hata mwenge/ sinza fc watachezaSingidani au Ihefuni? Au Esther Fc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote heri kosa kuonja urojo wa coco beach na dada zetu ha2ataki kuondoka hata mwenge/ sinza fc watachezaSingidani au Ihefuni? Au Esther Fc
Moloko kaachwaje ? Kakosa timu na yeyeSimba wapuuzi kumuacha mtu dirisha likiwa limefungwa
Alifanya hivyo kwa maagizo ya try againBaleke uwezo wake umepungua sana sana.
Halafu Simba inafungwa na Yanga goli 5 kwa 1 wenzake wanalia yeye anaenda kushangilia pamoja na Wakongo wa Yanga.
Alikuwa anashangilia nini wakati wenzake na wanasimba wakiwa katika majonzi mazito?
Hakika alitukosea sana Wana Simba.
Na hicho ndicho kilicho mwondoa.
Alianza kutumika na Yanga.
Vyovyote iwavyo kushangilia kufungwa na Yanga wakati wachezaji wenzako wanalia ni usaliti usiovumilika.Alifanya hivyo kwa maagizo ya try again
Mangungu alishafukuzwa?Simba sc haina uongozi