Wakala wa Baleke: Simu ziite Baleke hataki kurudi TP Mazembe

Wakala wa Baleke: Simu ziite Baleke hataki kurudi TP Mazembe

Baleke uwezo wake umepungua sana sana.
Halafu Simba inafungwa na Yanga goli 5 kwa 1 wenzake wanalia yeye anaenda kushangilia pamoja na Wakongo wa Yanga.
Alikuwa anashangilia nini wakati wenzake na wanasimba wakiwa katika majonzi mazito?
Hakika alitukosea sana Wana Simba.
Na hicho ndicho kilicho mwondoa.

Alianza kutumika na Yanga.
 
Alifanya hivyo kwa maagizo ya try again
 
Alifanya hivyo kwa maagizo ya try again
Vyovyote iwavyo kushangilia kufungwa na Yanga wakati wachezaji wenzako wanalia ni usaliti usiovumilika.
Angekuwa ndio Mchezaji wa Yanga kafanya vile siku ya pili angefungishwa virago vyake.

Amwambie huyo uliyemtaja amrudishe kama ndiye aliyemtuma.

Baleke asahau kabisa kuichezea Simba Sport Club katika maisha yake yote.
Anatumika na Yanga.
 
Back
Top Bottom