LGE2024 Wakala wa CHADEMA, Jacob Emily adaiwa kuumizwa alipokua akizuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM kuingizwa kwenye daftari la uandikishaji wapiga

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kama hao watu hawajavaa sare za CCM unajuwaje kuwa ni CCM??

Na hata wakivaa unajuwaje kuwa ni CCM?? Kwa sare tu??

Hizi nchi zetu changa matatizo ni makubwa sana.
 
Reactions: UCD
Yeye anazuia kama nani? Hajui utaratibu wa kufuata? Mwacha apate alichokuwa anakitaka.
 
Yaani chadema badala ya wao kuleta majina ya watu wao wanazuia ccm kuandikisha wafuasi wao kupiga kura. Utaratibu ni wananchi kwenda kujiandikisha sema ccm wanajiongeza maana siku ya kupiga kura mtu atatakiwa kuonesha kitambulisho chake. Hapo ndio utajua chadema hawana wenye kuwaunga mkono hadi hawawezi kuleta majina kuandikishwa. Wao wamebaki kutafufuta sababu za kuja kupinga matokeo.
 
Reactions: UCD

Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 1
Hapo polisi huwezi kuwasikia kabisa.

Ni dalili tosha na uhusiano wao na CCM haupingiki.

CHADEMA stand and act wimbo wa "tumeibiwa" tumechoka kuusikia .
 
Mbona kama kachapwa kerebu tu...
 
mawakala wa chadema wamekua wakionyesha kutaka kuvuruga zoezi kwa makusudi kutokana na kukosa chakula cha mchana kuanzia jana zoezi likiendelea
 
Duu hii ndiyo kwanza naiskia basi ilikuwa hakuna haja ya kwenda kuandiksha kupiga kura kama majina yanatoka mfukoni mwa wana CCM
 
CCM imejaa mashetani. Hiki chama ni laana kwa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…