Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhWewe CHAWA, wewe Malaya wa kisiasa ,wewe mchawi wa demokrasia Tanzania ,wewe mlaniwa uko nje ya mada kenge weewe
Yeye anazuia kama nani? Hajui utaratibu wa kufuata? Mwacha apate alichokuwa anakitaka.Katibu wa CHADEMA kata ya Tabata, Jacob Emily inadaiwa ameumizwa alipokua akiyazuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM yasiingizwe kwenye daftari la uandikishaji wapiga kura. Watu wa CCM inadaiwa wakamvamia na kumjeruhi.
Inasemekena Polisi - Tabata walikuwapo karibu kabisa, Wametulia tu.
View attachment 3122551
View attachment 3122570
PIA SOMA
- LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
Acha matusi wewe nyumb!Wewe CHAWA, wewe Malaya wa kisiasa ,wewe mchawi wa demokrasia Tanzania ,wewe mlaniwa uko nje ya mada kenge weewe
Yaani chadema badala ya wao kuleta majina ya watu wao wanazuia ccm kuandikisha wafuasi wao kupiga kura. Utaratibu ni wananchi kwenda kujiandikisha sema ccm wanajiongeza maana siku ya kupiga kura mtu atatakiwa kuonesha kitambulisho chake. Hapo ndio utajua chadema hawana wenye kuwaunga mkono hadi hawawezi kuleta majina kuandikishwa. Wao wamebaki kutafufuta sababu za kuja kupinga matokeo.Katibu wa CHADEMA kata ya Tabata, Jacob Emily inadaiwa ameumizwa alipokua akiyazuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM yasiingizwe kwenye daftari la uandikishaji wapiga kura. Watu wa CCM inadaiwa wakamvamia na kumjeruhi.
Inasemekena Polisi - Tabata walikuwapo karibu kabisa, Wametulia tu.
View attachment 3122551
View attachment 3122570
PIA SOMA
- LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
Katibu wa CHADEMA kata ya Tabata, Jacob Emily inadaiwa ameumizwa alipokua akiyazuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM yasiingizwe kwenye daftari la uandikishaji wapiga kura. Watu wa CCM inadaiwa wakamvamia na kumjeruhi.
Inasemekena Polisi - Tabata walikuwapo karibu kabisa, Wametulia tu.
View attachment 3122551
View attachment 3122570
PIA SOMA
- LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
Duu hii ndiyo kwanza naiskia basi ilikuwa hakuna haja ya kwenda kuandiksha kupiga kura kama majina yanatoka mfukoni mwa wana CCMKatibu wa CHADEMA kata ya Tabata, Jacob Emily inadaiwa ameumizwa alipokua akiyazuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM yasiingizwe kwenye daftari la uandikishaji wapiga kura. Watu wa CCM inadaiwa wakamvamia na kumjeruhi.
Inasemekena Polisi - Tabata walikuwapo karibu kabisa, Wametulia tu.
View attachment 3122551
View attachment 3122570
PIA SOMA
- LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
CCM imejaa mashetani. Hiki chama ni laana kwa Taifa.Katibu wa CHADEMA kata ya Tabata, Jacob Emily inadaiwa ameumizwa alipokua akiyazuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM yasiingizwe kwenye daftari la uandikishaji wapiga kura. Watu wa CCM inadaiwa wakamvamia na kumjeruhi.
Inasemekena Polisi - Tabata walikuwapo karibu kabisa, Wametulia tu.
View attachment 3122551
View attachment 3122570
PIA SOMA
- LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
Wewe ni kenge kabisa!Lisu yuko Ulaya akitafuta namna ya kukamata ndege za watanzania