CHAUMMA Tanzania
Member
- Oct 1, 2020
- 7
- 22
Anahitaji kura 270,000 tu kati ya zote. Na hizi atakuwa kazipata leo tu by saa 11 alfajiri.🙄Kura alizopata Hussein Mwinyi leo zimesha tosha kumtangaza kama mshindi.
Chagua Magufuli kesho mkuuMagufuli na mwinyi hawatokaa wawe Marais Tena wa nchii hii save hii statement kwenye memory yako.
This is your wishful thinking.Magufuli na mwinyi hawatokaa wawe Marais Tena wa nchii hii save hii statement kwenye memory yako.
Dola haigawanywi kwa hesabu zetu hizi. Madaraka hayana mambo ya logic. Ndio maana Daud aliyekuwa mchunga ng'ombe alipewa madaraka badala ya ndugu zake waliokuwa watanashatiAnahitaji kura 270,000 tu kati ya zote. Na hizi atakuwa kazipata leo tu by saa 11 alfajiri.🙄
Harafu huyu na Magufuli wake siku za Ibada wanawahi mbele kabisa. Sijui huwa wanamwambia nini Muumba wao?
Sasa Mr. Wakala saa sita ucku kituo cha kupiga kura inatafuta nn
Hizo si ni nusu ya kura zote sasa ina maana zanzibar kuna watumishi wote hao?Anahitaji kura 270,000 tu kati ya zote. Na hizi atakuwa kazipata leo tu by saa 11 alfajiri.[emoji849]
Harafu huyu na Magufuli wake siku za Ibada wanawahi mbele kabisa. Sijui huwa wanamwambia nini Muumba wao?
This is your wishful thinking.
Zanzibar washaua watu kadhaa. Kesho wala hawahitaji kuua mtu maana kura zao zimetosha leo.
Magufuli yeye lazima atangazwe. Nahisi anaweza hata kumfukuza kazi Mkurugenzi wa NEC keshokutwa akiona kuna ubishi.
Mark this as well harafu tutarudi kabla ya 1 Nov 2020
Hizo si ni nusu ya kura zote sasa ina maana zanzibar kuna watumishi wote hao?
Hakuna popote duniani bunduki ilipopata kuleta amani. Hakuna popote duniani uangamizaji raia ulipata kuwaweka madarakani watawala kwa amani.Viongoz wa CHAUMMA Tupo mazikoni kwa wakala wetu aliyepigwa risasi Jana Usiku majira ya saa 6 usiku katika kituo cha kupiga kura skuli ya vitongoji Jimbo la wawi.
Wakala wetu wa CHAUMMA aliyeuawa anaitwa Muhammad khalfan Mjaka.
Maziko ni baada ya sala ya alasir Leo tarehe 27 /10/2020.
INALILAH WAINA ILAIHI RAJOIUN.
ALI OMAR JUMA
MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR -CHAUMMA
KATIBU MKUU - CHAUMMA
+255 772 674 080
Sasa wew unataka kujua muumba anazungumza nini na waja wake[emoji23]Anahitaji kura 270,000 tu kati ya zote. Na hizi atakuwa kazipata leo tu by saa 11 alfajiri.[emoji849]
Harafu huyu na Magufuli wake siku za Ibada wanawahi mbele kabisa. Sijui huwa wanamwambia nini Muumba wao?