TANZIA Wakala wa CHAUMMA visiwani Pemba auawa

TANZIA Wakala wa CHAUMMA visiwani Pemba auawa

RIP walala, lakini jamani saa 6 usiku kwenye kituo ulienda kutafuta nini, japo marehemu hasemwi lakini hapana! Poleni wafiwa
 
Ushindi wa Mwinyi unaandikwa kwa wino wa damu ya wasio na hata.


Damu iko juu ya yule aliyehamasisha vijana waandamane wazue ghasia ili apate kusema anaonewa

Tume imetangaza taratibu za uchaguzi wewe mgombea urais unawaambia wafuasi wasizifate bali wakusikilize wewe matokeo yake wanaenda kupiga police mawe, wanaleta fujo, wanaumia halafu umesema alaumiwe mwinyi. Hizo ni akili za wapi
 
Viongoz wa CHAUMMA Tupo mazikoni kwa wakala wetu aliyepigwa risasi Jana Usiku majira ya saa 6 usiku katika kituo cha kupiga kura skuli ya vitongoji Jimbo la wawi...
Poleni sana. Ila tufahamishwe huyo wakala alikuwa anafanya nini kwenye kituo cha kupigia kura saa sita za usiku???
 
Back
Top Bottom