TANZIA Wakala wa CHAUMMA visiwani Pemba auawa

TANZIA Wakala wa CHAUMMA visiwani Pemba auawa

Dola haigawanywi kwa hesabu zetu hizi. Madaraka hayana mambo ya logic. Ndio maana Daud aliyekuwa mchunga ng'ombe alipewa madaraka badala ya ndugu zake waliokuwa watanashati
Kwahiyo Seif atakuwa rais kwa kupewa kama Daud?
 
Hizo si ni nusu ya kura zote sasa ina maana zanzibar kuna watumishi wote hao?
Haya maswali hayataulizwa maana ZEC ikishatamka tu, hakuna mahakama itapokea hii kesi
 
Mwana wa kulitafuta, mwana wa kulipata. Inalilah waiinalilah raijuni
Ukisikia kokote duniani ambako kulitokea mauaji ya halaiki ni WATAWALA NDIO WALIHUSIKA.
FULL STOP.
Tumuombe Mola atupe hekima na awape moyo wa upendo na huruma walioko madarakani
 
Poleni sana.
Wakifanyiwa CHADEMA /Lissu mnakaa kimya, hayatuhusu. Lisu alisema hakuna aliye salama! Badala ya kuungna na CDM na ACT tukamngoa nduli mnashirikian na CCM kugawana kura. Kuna la kujifunza hapa!
Poleni tena.
Sometimes naombal hali iwe worse ili na ikiwezekana kila mmoja aguswe labda ndio huu ubinafsi utaisha.
 
Mkuu wa Polisi wa CCM amesema hajui Maalim alipo swali je Maalim Seif ametekwa?
 
Ukisikia kokote duniani ambako kulitokea mauaji ya halaiki ni WATAWALA NDIO WALIHUSIKA.
FULL STOP.
Tumuombe Mola atupe hekima na awape moyo wa upendo na huruma walioko madarakani
Mauaji ya halaiki yanaanzaje kutokea TZ kwa kipi?
 
Back
Top Bottom