TANZIA Wakala wa CHAUMMA visiwani Pemba auawa

Magufuli na mwinyi hawatokaa wawe Marais Tena wa nchii hii save hii statement kwenye memory yako.
Acha Bangi na mihemko ... subiri haina haja ya kutabiri mana muda umefika kwa haki au kwa wizi lazima iwe hivyo
 
Viongoz wa CHAUMMA Tupo mazikoni kwa wakala wetu aliyepigwa risasi Jana Usiku majira ya saa 6 usiku katika kituo cha kupiga kura skuli ya vitongoji Jimbo la wawi...
Kituoni alifuata nini?. Tiini sheria bila shurti.
 
Mwana wa kulitafuta, mwana wa kulipata. Inalilah waiinalilah raijuni
Heri yako wewe laanakum utakayeishi milele. Sikulaani bali matendo yako vema utubu na ujitambue ikiwa unashangilia mauti ya mtu ina maana umeshiriki kuyafanya na mwisho wa siku unamshirikisha Muumba ili uthibiti unafiq wako. Pole angalia hiyo Innalillah... ulivyoiandika!!!
 
Viongoz wa CHAUMMA Tupo mazikoni kwa wakala wetu aliyepigwa risasi Jana Usiku majira ya saa 6 usiku katika kituo cha kupiga kura skuli ya vitongoji Jimbo la wawi...
Acheni sasa kuwa chama pandikizi. Kuweni ngangari kama ACT au CHADEMA ndiyo tutawapa POLE.
 
Poleni sana.
Wakifanyiwa CHADEMA /Lissu mnakaa kimya, hayatuhusu. Lisu alisema hakuna aliye salama! Badala ya kuungna na CDM na ACT tukamngoa nduli mnashirikian na CCM kugawana kura. Kuna la kujifunza hapa!
Poleni tena.
ACT na Chadema ndiyo zao hizo lakini watapatikana tu soon!
 
Sometimes naombal hali iwe worse ili na ikiwezekana kila mmoja aguswe labda ndio huu ubinafsi utaisha.
Angalia inawezekana huo muda wa kuguswa kila mtu usiushuhudie kwa maombi haya yanaweza kuguswa nawewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…