Wakala wa kuzimu aliyetumwa na mafia

Huyo jamaa kwa mauaji ya mwisho kupigwa risas hadi kunyauka ilikuwa vip had mama akafanya hiyo kitu
 
Huko New orleans ukipita na shoka jion jioni lazima watu walale mapema, watajua axeman amerudi
 
Huyo jamaa kwa mauaji ya mwisho kupigwa risas hadi kunyauka ilikuwa vip had mama akafanya hiyo kitu
Kama ilivyoanishwa, kulikuwa kuna 'mtandao' ka Mafia ndani ya huo mji. Kulipuana na kuchomana ni mojawapo ya kitu cha kawaida kutokea.

Mjane wa Peptone alipata taarifa kwamba muuaji wa shoka ni Momfre. Japokuwa haikuthibitishwa na polisi yeye akaona alipe kisasi kwa kumwagia risasi.

☆Steve
 
Asanteee mkuu steve mollel,, :
Huu mji wa New Orleans ni mji ambao una historia yakee kumbee no wonder Movie ya ''the Originals.'' ime-actiwa huko pia
 
Asanteee mkuu steve mollel,, :
Huu mji wa New Orleans ni mji ambao una historia yakee kumbee no wonder Movie ya ''the Originals.'' ime-actiwa huko pia
Jiji la New Orleans lina historia nyingi za kusisimua. Ni jiji ambalo lina orodha ya mambo mengi ya ajabu kutukia, hisia za uwepo wa vampires, demons and ghosts.

☆Steve
 
Jiji la New Orleans lina historia nyingi za kusisimua. Ni jiji ambalo lina orodha ya mambo mengi ya ajabu kutukia, hisia za uwepo wa vampires, demons and ghosts.

☆Steve
Oooh sawa sawa mkuu,,,
Natumai utafungua nondo nyingine kuhusiana hao Blood suckers(vamps) huko New Orleans
 
Oooh sawa sawa mkuu,,,
Natumai utafungua nondo nyingine kuhusiana hao Blood suckers(vamps) huko New Orleans
Mungu atujaalie uzima mkuu. Mambo yapo mengi sana, ni muda tu.

☆Steve
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…