Wakala wa kuzimu aliyetumwa na mafia

Wakala wa kuzimu aliyetumwa na mafia

Asante mkuu kwa makali nikuombe makala nyingi na Kali zaid kutoka kwako
 
Kwa sisi tunaoangalia mambo kwa namna tofauti kabisa tumeona mengi kwenye hili tukio lililokuwa linatokea kwa mtindo wa series...

Hawa watu huwa wanaacha signature zao na mara moja ukizijua tu unajua ni nani aliyefanya haya matukio....
 
Mkuu Eiyer nasoma hizi makala zako kila Mara nipatapo muda najiuliza hivi?

Huyu Nimrod mjukuu wa Nuhu na mtoto wa Ham,mkewe Semiramis na mtoto wao Tamuz

Mpk walipoamua kuunda utatu wao wa kikanjanja kanjanja

Sasa mbn km hadithi yao inafanana na ule 'Utatu Mtakatifu'? hapa nani alianza na huu utatu? Km ni wao akina tamuz ,huu tunaousoma utatu mtakatifu umeanzia wapi?

Ilipita miaka mingapi toka utatu huo wa akina Semiramis, nimrod na Tamuz ,hadi utatu huu mtakatifu?

Maswali mengi ila majibu sina
 
Natamani kukujibu lakini tutaharibu uzi wa watu mkuu wangu....

Lets hope for another time....
 
Kwa sisi tunaoangalia mambo kwa namna tofauti kabisa tumeona mengi kwenye hili tukio lililokuwa linatokea kwa mtindo wa series...

Hawa watu huwa wanaacha signature zao na mara moja ukizijua tu unajua ni nani aliyefanya haya matukio....
Mkuu tushushie basi mambo, wewe unaona nini hapo katika jicho la tatu?
 
All in all mkuu Steve tunashukuru sana kwa kutupa mambo mapya ya kushangaza. Umesema kila wiki unatuma makala moja, please usinisahau katika ufalme wako mzee. Mie fan wako namba uno since day one!
 
Mkuu tushushie basi mambo, wewe unaona nini hapo katika jicho la tatu?
Nitakueleza kidogo sana ili tusiharibu uzi wa mkuu hapo...

Muuaji alisema atakatiza kwenye jiji siku ya tarehe 19/03/1919..

Nanukuu..
Sasa basi kuwa wazi, saa sita na robo usiku (muda wa dunia) Jumanne ijayo (March 19, 1919), nitakatiza jiji la New Orleans. Kwa huruma yangu ndogo, nitawahitaji mfanye jambo fulani dogo. Hili hapa:

Hii ni signature na ziko nyingi tu hapo lakini nakupa moja tu....

19031919 = 33 [1+9+0+3+1+9+1+9]

Najua unajua 33 ni kitu gani.....
 
Nitakueleza kidogo sana ili tusiharibu uzi wa mkuu hapo...

Muuaji alisema atakatiza kwenye jiji siku ya tarehe 19/03/1919..

Nanukuu..

Hii ni signature na ziko nyingi tu hapo lakini nakupa moja tu....

19031919 = 33 [1+9+0+3+1+9+1+9]

Najua unajua 33 ni kitu gani.....
Hapana mkuu sijui! Naomba uendelee kunielewesha
 
Back
Top Bottom