SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
- #41
1. Anawasaidia polisi kuhesabu vizuri mauaji.Huyu jamaa alikua mtukutu wa kiwango cha juu sana.
2. Anaandika barua kwamba polisi wenyewe wanamhanya.
3. Anatoa sharti la watu kuwa salama, hadi wanausalama wenyewe wanalitii.
Alidhalilisha jiji. Alidhalilisha wanausalama.
☆Steve