Wakala wa Meddie Kagere, Mnyarwanda Patrick Gakumba atoa siri nzito za Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa

Wakala wa Meddie Kagere, Mnyarwanda Patrick Gakumba atoa siri nzito za Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa

Hujajua kanuni za Sub tano, zinavyofanyika kwenye mashindano yale. Sub ni tano ila utaingiza kwa awamu tatu tu, hivyo awamu ya kwa unaweza kuingiza Sub tatu, inayofuata mmoja alafu unamalizia mmoja, ama utaingiza wawili wawili, ama wote kwa mpigo, ilimradi uwagawe kwa awamu tatu.
Hivyo Simba waliingiza Mmoja mmoja kwa awamu tatu, Na kuhesabika wamemaliza Sub.
Nashukuru.

Nimekuelewa.
 
" Huyu Kocha nimejuana nae Siku nyingi hata kabla ya kuja hapo Simba SC. Anafanya mambo ambayo najua yatakuja Kumrudia na ataumbuka kwani hata Mwenyezi Mungu anayaona na atamuadhibu...
Huyo wakala na mtangazaji Amri Masare wajiandae na Manara,watachezea mineno ya kashfa.
 
Una uhakika na unachokiongea? Naona mlioanza angalia mpira juzi mnakurupuka, elezea kwa jinsi gani simba alikuwa bado ana sub 2?
Wee acha kuwa mbwa kama unaona nimekosea si unaweza kurekebisha.
 
Kwa hiyo lengo lako ni kumpoteza Gomes...hivi umeshaangalia athari zitakazojiri baada ya kutimuliwa kwake? Vp kama simba ingebaki na sven, unadhani tungekuwa wapi kwa sasa 😳😳
Unaniuliza Mimi au Wakala Gakumba?
 
Kagere amalize muda wake aondoke zake, wakala mpuuzi saana. Kipindi cha Sven alileta shutuma za hivi hivi na sasa analeta hizi pia. Kagere mi mchezaji kama wachezaji wengine tuu . Simba kuna wachezaji wazuri tuu hawachezi na hatuna habari za kipuuzi kama za huyu wakala. Simba ni kubwa kuliko mchezaji , kagere amalize mkataba wake aondoke tu...
Gomez asifanye mkampuuza Gakumba.
 
Huyo meneja mpuuzi.... je kocha wa zamani kishingo alikuwa anampanga kagere?

Kwanza simba alishamaliza sub mapema sana ile gemu ya juzi na kaizer chief
Chief sub ni tano siyo tatu CAF walibadili kwasababu ya COVID-19.
Hata benchi linakuwa na wachezaji 9 siyo 7.
 
Hujajua kanuni za Sub tano, zinavyofanyika kwenye mashindano yale. Sub ni tano ila utaingiza kwa awamu tatu tu, hivyo awamu ya kwa unaweza kuingiza Sub tatu, inayofuata mmoja alafu unamalizia mmoja, ama utaingiza wawili wawili, ama wote kwa mpigo, ilimradi uwagawe kwa awamu tatu.
Hivyo Simba waliingiza Mmoja mmoja kwa awamu tatu, Na kuhesabika wamemaliza Sub.
Acha Uwongo na usinilazimishe nikaanza Kukudharau hapa JamiiForums sawa? Kaizer Chiefs FC walifanya Subs zao zote Tano ( 5 ) kwa Nyakati tofauti nenda katizame huo Mchezo ili ujiridhishe na ujione jinsi ulivyo Mpuuzi.
 
Huyu jamaa kila kocha anamlalamikia anafikiri huyo mzee ni ronaldo, wazungu huwa na macho ya mbali sana kifupi huyo babu kashachoka wakala anaona ugali unapotea
 
Huyu jamaa kila kocha anamlalamikia anafikiri huyo mzee ni ronaldo, wazungu huwa na macho ya mbali sana kifupi huyo babu kashachoka wakala anaona ugali unapotea
Gomez asifanye mkampuuza Gakumba.
 
Unajua utaratibu wa hizo sub 5 unavyofanyika? Nakupa homework ukatafute jibu, kisha urudi
Kwahiyo utaratibu ulikuwa unaihusu tu Simba SC ila kwa Kaizer Chiefs FC wao uliwaruhusu waufanye kwa Wachezaji wao wote Watano tena kwa Nyakati tofauti tofauti? Kuna ni Wapuuzi hapa JamiiForums hadi mnaboa na kukera pia.
 
Ukweli Ni kwamba kagere hawezi kuwa Yule wa zamani Tena ashakua butu

Na mechi za kimataifa anakuwa wa kawaida tu

Arudi Rwanda tu Simba tafutenj strikers wengine kagere na mugalu achaneni nao
 
Yule kocha mbona imeonekana wazi ana tatizo na Kagere siku nyingi, kuna mechi ya CAF alimpanga Mugalu jamaa akakosa nafasi nyingi sana za wazi mpaka kocha akaona aibu ndio akamtoa.

Kwa hili alilosema huyo Gakumba nakubaliana nae, huwezi kuwa na striker wa aina ya Kagere nje wakati timu yako inahitaji magoli zaidi halafu usimtumie kabisa, kuna jambo pale, kocha anakomaa sana na Mugalu wakati amesha prove over and over again hana lolote la maana.

Kocha lazima aone aibu kwa ule ujinga aliofanya siku ile, hata kama mkisema Kagere hana uwezo, sijui hata kishingo alikuwa hamtumii, bado hata huyo Mugalu nae ndie hovyo kabisa, ukweli hawezi kumnyima Kagere namba for the whole 90 minutes.
 
Back
Top Bottom