Nashukuru.Hujajua kanuni za Sub tano, zinavyofanyika kwenye mashindano yale. Sub ni tano ila utaingiza kwa awamu tatu tu, hivyo awamu ya kwa unaweza kuingiza Sub tatu, inayofuata mmoja alafu unamalizia mmoja, ama utaingiza wawili wawili, ama wote kwa mpigo, ilimradi uwagawe kwa awamu tatu.
Hivyo Simba waliingiza Mmoja mmoja kwa awamu tatu, Na kuhesabika wamemaliza Sub.
Huyo wakala na mtangazaji Amri Masare wajiandae na Manara,watachezea mineno ya kashfa." Huyu Kocha nimejuana nae Siku nyingi hata kabla ya kuja hapo Simba SC. Anafanya mambo ambayo najua yatakuja Kumrudia na ataumbuka kwani hata Mwenyezi Mungu anayaona na atamuadhibu...
Wee acha kuwa mbwa kama unaona nimekosea si unaweza kurekebisha.Una uhakika na unachokiongea? Naona mlioanza angalia mpira juzi mnakurupuka, elezea kwa jinsi gani simba alikuwa bado ana sub 2?
Ipo Siku tu mtamkumbuka huyu Wakala.Kagere kashachuja
Unaniuliza Mimi au Wakala Gakumba?Kwa hiyo lengo lako ni kumpoteza Gomes...hivi umeshaangalia athari zitakazojiri baada ya kutimuliwa kwake? Vp kama simba ingebaki na sven, unadhani tungekuwa wapi kwa sasa 😳😳
Gomez asifanye mkampuuza Gakumba.Kagere amalize muda wake aondoke zake, wakala mpuuzi saana. Kipindi cha Sven alileta shutuma za hivi hivi na sasa analeta hizi pia. Kagere mi mchezaji kama wachezaji wengine tuu . Simba kuna wachezaji wazuri tuu hawachezi na hatuna habari za kipuuzi kama za huyu wakala. Simba ni kubwa kuliko mchezaji , kagere amalize mkataba wake aondoke tu...
Nani alikudanganya kuwa Sub ziliisha?Sub zilikwisha aache ufala
Chief sub ni tano siyo tatu CAF walibadili kwasababu ya COVID-19.Huyo meneja mpuuzi.... je kocha wa zamani kishingo alikuwa anampanga kagere?
Kwanza simba alishamaliza sub mapema sana ile gemu ya juzi na kaizer chief
Acha Uwongo na usinilazimishe nikaanza Kukudharau hapa JamiiForums sawa? Kaizer Chiefs FC walifanya Subs zao zote Tano ( 5 ) kwa Nyakati tofauti nenda katizame huo Mchezo ili ujiridhishe na ujione jinsi ulivyo Mpuuzi.Hujajua kanuni za Sub tano, zinavyofanyika kwenye mashindano yale. Sub ni tano ila utaingiza kwa awamu tatu tu, hivyo awamu ya kwa unaweza kuingiza Sub tatu, inayofuata mmoja alafu unamalizia mmoja, ama utaingiza wawili wawili, ama wote kwa mpigo, ilimradi uwagawe kwa awamu tatu.
Hivyo Simba waliingiza Mmoja mmoja kwa awamu tatu, Na kuhesabika wamemaliza Sub.
Aliyekuzaa nadhani ni Mbwa tu kunizidi.Kagere ni nani ambae lazima apangwe?
We ni mbwa nini?
Unasema tuheshimu anachosema au unachosema wewe?
Mbwa wewe una busha
Umeelewa baada tu ya Kudanganywa?Nashukuru.
Nimekuelewa.
Na bahati Amri Masare ni Yanga lia lia.Huyo wakala na mtangazaji Amri Masare wajiandae na Manara,watachezea mineno ya kashfa.
Unayemuelimisha huyo ni Moron Mkuu.Chief sub ni tano siyo tatu CAF walibadili kwasababu ya COVID-19.
Hata benchi linakuwa na wachezaji 9 siyo 7.
Gomez asifanye mkampuuza Gakumba.Huyu jamaa kila kocha anamlalamikia anafikiri huyo mzee ni ronaldo, wazungu huwa na macho ya mbali sana kifupi huyo babu kashachoka wakala anaona ugali unapotea
Chief sub ni tano siyo tatu CAF walibadili kwasababu ya COVID-19.
Hata benchi linakuwa na wachezaji 9 siyo 7.
Kwahiyo utaratibu ulikuwa unaihusu tu Simba SC ila kwa Kaizer Chiefs FC wao uliwaruhusu waufanye kwa Wachezaji wao wote Watano tena kwa Nyakati tofauti tofauti? Kuna ni Wapuuzi hapa JamiiForums hadi mnaboa na kukera pia.Unajua utaratibu wa hizo sub 5 unavyofanyika? Nakupa homework ukatafute jibu, kisha urudi
Npo nafanya utafiti nitarudi.Umeelewa baada tu ya Kudanganywa?