Nimepata somo pia.Hujajua kanuni za Sub tano, zinavyofanyika kwenye mashindano yale. Sub ni tano ila utaingiza kwa awamu tatu tu, hivyo awamu ya kwa unaweza kuingiza Sub tatu, inayofuata mmoja alafu unamalizia mmoja, ama utaingiza wawili wawili, ama wote kwa mpigo, ilimradi uwagawe kwa awamu tatu.
Hivyo Simba waliingiza Mmoja mmoja kwa awamu tatu, Na kuhesabika wamemaliza Sub.
KujisahauKumbe Simba SC hawakujua hili vyema?
Subs Nne ( 4 ) kwa Mikupuo Mitatu ( 3 ) wakati Waliingiza Wachezaji wao Watano ( 5 ) wote? Mbona mnatuchanganya kiasi hiki Jamani?Kaizer chiefs walifanya sub nne kwa mikupuo mitatu. Simba hawakuwa na nafasi tena ndio maana hata hao kina Kagere hawakuwa wanapasha maana hakukuwa na nafasi tena.
Nadhani hii ndiyo Fact Kuu sana Mkuu.Hii ni kutafuta mchawi tu, Simba walifanya makosa game ya kwanza kuruhusu goli nne.
Klabu Kusahau ni sawa Kiuweledi Mkuu?Kujisahau
Ni kweli, tuaangalia tulipoangukia badala ya kuangalia tulipojikwaa, na kama tungefuzu haya yote yasingesemwa.Hii ni kutafuta mchawi tu, Simba walifanya makosa game ya kwanza kuruhusu goli nne.
Ni kweli, tuaangalia tulipoangukia badala ya kuangalia tulipojikwaa, na kama tungefuzu haya yote yasingesemwa.
Narudia, makosa yalikuwa game ya kwanza kuruhusu mvua ya mabao