GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu anaweza Kusoma ili kuwa na Maarifa zaidi"
"Ni kweli nasimamia Wachezaji wengi tu Yanga na Simba na hata huyu Djuma Shabaan namsimamia ila sijawahi kupata Changamoto kama nilizozipata hapa Tanzania. Sakata la Fei Toto lilifanya nipokee Vitisho vya kuwekewa Tindikali, Kutekwa na Kubakwa kutoka kwa Watu wa Yanga ambao baadhi yao nawafahamu na wengine siwafahamu ila niliwajibu kuwa Siogopi, Najiamini Kisheria na naamini Mwenyezi Mungu yuko kwa ajili ya Kuwatetea Watenda haki duniani"
"Kwa kutishiwa huko ilibidi Kaka yangu alazimishe kunifungia CCTV Camera Kwangu na ku Track Simu yangu na ananifuatilia mara kwa mara. Baada ya Watu hao ( Maadui ) zangu wa Sakata la Mchezaji Fei Toto kujua kuwa Kaka yangu sasa ameingia Kati kunilinda wakaogopa kwakuwa wanamjua Yeye ni nani na Kazi yake hapa Tanzania na hata Kaka yangu nae anawajua baadhi yao hivyo ikaishia hapo na kuwa salama Kwangu"
Nukuu zote hizi za huyu Wakala nimezinukuu baada ya Kumsikiliza akiongea Mubashara EFM Radio katika Kipindi cha Michezo cha Sports Headquarters kinachoendelea sasa.
Kwa Kitendo tu cha Dada ( Wakala ) huyu Jasmine Razaq kusema kuwa alitishiwa kuwekewa Tindikali na Kutekwa GENTAMYCINE haraka sana nimeshawajua Watu Wawili Wakubwa ( Mmoja yuko Serikalini ) na Mwingine kwa mbali ( Nje ya Serikali ) ambao wanajulikana kwa Sifa hizi Mbili tokea wakiwa Watendaji wa Chama Chao Kikubwa na Kikongwe ( na ni wana Yanga SC lia lia ) hivyo sijashangaa sana.
Pole mno Dada Jasmine kwa Mtihani.