Wakala wa Wachezaji Jasmine Razaq: Kumtetea Kwangu Fei Toto kulisababisha nitishiwe kuwekewa Tindikali, Kutekwa na Kubakwa

Wakala wa Wachezaji Jasmine Razaq: Kumtetea Kwangu Fei Toto kulisababisha nitishiwe kuwekewa Tindikali, Kutekwa na Kubakwa

GENTAMYCINE Acha kuharibu taswira za watu na kunukuu media kubwa ambayo haijafanya hayo mahojiano. Hii mara ya pili unaleta maandiko na manukuu ya uwongo. Mara ya tatu ukijaribu nitajua cha kukufanya. Saa ngapi hizo habari umezipata? Manukuu hayana maana tupe ushahidi wa sauti au video tuamini. Huyu mama ni mwanasheria anayejielewa na anasimamia wachezaji wengi tu. Haya mambo yako ya kulisha watu matango pori nitakunyoosha
 
Ukitaka kujua tofauti ya msingi kati ya Simba na Yanga, linganisha sakata la Phiri na haya masakata ya Yanga. Wapenzi wa Simba wako radhi Phiri aachwe aondoke kuliko kuona anateswa na anaonewa na vibopa.

Ningependa kuona virusi vilivyojipenyeza pale kwenye uongozi wa juu wa Simba vyenye vitabia vya kubeba wachezaji wanaoigharimu timu kila siku na wanaowapiga pini watu wenye msaada mkubwa kwa timu wanadhibitiwa.
Issue ya Feisal na Phili zina fanana? watu wengine sijui kwanini hua huwezi kujizuia ku expose ujinga wenu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hio ndo michezo ya gsm hapo walikutana na mwamba mwenzao
 
Ukitaka kujua tofauti ya msingi kati ya Simba na Yanga, linganisha sakata la Phiri na haya masakata ya Yanga. Wapenzi wa Simba wako radhi Phiri aachwe aondoke kuliko kuona anateswa na anaonewa na vibopa.

Ningependa kuona virusi vilivyojipenyeza pale kwenye uongozi wa juu wa Simba vyenye vitabia vya kubeba wachezaji wanaoigharimu timu kila siku na wanaowapiga pini watu wenye msaada mkubwa kwa timu wanadhibitiwa.
Wewe mtoto acha uongo
 
Huyu dada yan akishaona fei kazngua kitu yeye ndo anatokea ..Jana kaona mchezaji wake kashapotea mtu anacheza kama sio professional Leo anajileta tena kuongea mambo yake ili kupata attention...huyu mtu hafai kwenye soka letu sie kabisa.
Ndio maana FIFA wakaweka Course ya uwakala sababu waliyajua haya,hao wote wanaongea sio MAWAKALA wanaotambulika na FIFA ni wajanja wajanja wa mjini.

Natamani Yanga wasisajili mchezaji yoyote kutoka kwake, hata walio kuwepo waache kwani atatusumbua msimu uliopita walikuwa wanataka kututoa kwenye malengo ila uzuri tulivuka malengo.
 
"Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu anaweza Kusoma ili kuwa na Maarifa zaidi"

"Ni kweli nasimamia Wachezaji wengi tu Yanga na Simba na hata huyu Djuma Shabaan namsimamia ila sijawahi kupata Changamoto kama nilizozipata hapa Tanzania. Sakata la Fei Toto lilifanya nipokee Vitisho vya kuwekewa Tindikali, Kutekwa na Kubakwa kutoka kwa Watu wa Yanga ambao baadhi yao nawafahamu na wengine siwafahamu ila niliwajibu kuwa Siogopi, Najiamini Kisheria na naamini Mwenyezi Mungu yuko kwa ajili ya Kuwatetea Watenda haki duniani"

"Kwa kutishiwa huko ilibidi Kaka yangu alazimishe kunifungia CCTV Camera Kwangu na ku Track Simu yangu na ananifuatilia mara kwa mara. Baada ya Watu hao ( Maadui ) zangu wa Sakata la Mchezaji Fei Toto kujua kuwa Kaka yangu sasa ameingia Kati kunilinda wakaogopa kwakuwa wanamjua Yeye ni nani na Kazi yake hapa Tanzania na hata Kaka yangu nae anawajua baadhi yao hivyo ikaishia hapo na kuwa salama Kwangu"

Nukuu zote hizi za huyu Wakala nimezinukuu baada ya Kumsikiliza akiongea Mubashara EFM Radio katika Kipindi cha Michezo cha Sports Headquarters kinachoendelea sasa.

Kwa Kitendo tu cha Dada ( Wakala ) huyu Jasmine Razaq kusema kuwa alitishiwa kuwekewa Tindikali na Kutekwa GENTAMYCINE haraka sana nimeshawajua Watu Wawili Wakubwa ( Mmoja yuko Serikalini ) na Mwingine kwa mbali ( Nje ya Serikali ) ambao wanajulikana kwa Sifa hizi Mbili tokea wakiwa Watendaji wa Chama Chao Kikubwa na Kikongwe ( na ni wana Yanga SC lia lia ) hivyo sijashangaa sana.

Pole mno Dada Jasmine kwa Mtihani.
Na tungemfumua marinda kabisa![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom