Kwani Feisal bado yupo Yanga?Huyu Jasmine tayari keshapoteza uaminifu wake kwa jamii ya wanamichezo baada ya kugalagazwa
Sema unachotaka kusema acha kuuliza maswali ya kipuruziKwani Feisal bado yupo Yanga?
Issue ya Feisal na Phili zina fanana? watu wengine sijui kwanini hua huwezi kujizuia ku expose ujinga wenuUkitaka kujua tofauti ya msingi kati ya Simba na Yanga, linganisha sakata la Phiri na haya masakata ya Yanga. Wapenzi wa Simba wako radhi Phiri aachwe aondoke kuliko kuona anateswa na anaonewa na vibopa.
Ningependa kuona virusi vilivyojipenyeza pale kwenye uongozi wa juu wa Simba vyenye vitabia vya kubeba wachezaji wanaoigharimu timu kila siku na wanaowapiga pini watu wenye msaada mkubwa kwa timu wanadhibitiwa.
Wewe mtoto acha uongoUkitaka kujua tofauti ya msingi kati ya Simba na Yanga, linganisha sakata la Phiri na haya masakata ya Yanga. Wapenzi wa Simba wako radhi Phiri aachwe aondoke kuliko kuona anateswa na anaonewa na vibopa.
Ningependa kuona virusi vilivyojipenyeza pale kwenye uongozi wa juu wa Simba vyenye vitabia vya kubeba wachezaji wanaoigharimu timu kila siku na wanaowapiga pini watu wenye msaada mkubwa kwa timu wanadhibitiwa.
Ndio maana FIFA wakaweka Course ya uwakala sababu waliyajua haya,hao wote wanaongea sio MAWAKALA wanaotambulika na FIFA ni wajanja wajanja wa mjini.Huyu dada yan akishaona fei kazngua kitu yeye ndo anatokea ..Jana kaona mchezaji wake kashapotea mtu anacheza kama sio professional Leo anajileta tena kuongea mambo yake ili kupata attention...huyu mtu hafai kwenye soka letu sie kabisa.
Suala la Phiri wamemuangushia jumba bovu Robertinho wakati ukweli tunaujua. Acheni janja janja, visirani na hujma Tutaisusia timu, ooohoo!Wewe mtoto acha uongo
Unaujua ukweli au unahisia tu juu ya hilo?Suala la Phiri wamemuangushia jumba bovu Robertinho wakati ukweli tunaujua. Acheni janja janja, visirani na hujma Tutaisusia timu, ooohoo!
Tuambie ukweli unaoujua weweUnaujua ukweli au unahisia tu juu ya hilo?
Na tungemfumua marinda kabisa![emoji23][emoji23][emoji23]"Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu anaweza Kusoma ili kuwa na Maarifa zaidi"
"Ni kweli nasimamia Wachezaji wengi tu Yanga na Simba na hata huyu Djuma Shabaan namsimamia ila sijawahi kupata Changamoto kama nilizozipata hapa Tanzania. Sakata la Fei Toto lilifanya nipokee Vitisho vya kuwekewa Tindikali, Kutekwa na Kubakwa kutoka kwa Watu wa Yanga ambao baadhi yao nawafahamu na wengine siwafahamu ila niliwajibu kuwa Siogopi, Najiamini Kisheria na naamini Mwenyezi Mungu yuko kwa ajili ya Kuwatetea Watenda haki duniani"
"Kwa kutishiwa huko ilibidi Kaka yangu alazimishe kunifungia CCTV Camera Kwangu na ku Track Simu yangu na ananifuatilia mara kwa mara. Baada ya Watu hao ( Maadui ) zangu wa Sakata la Mchezaji Fei Toto kujua kuwa Kaka yangu sasa ameingia Kati kunilinda wakaogopa kwakuwa wanamjua Yeye ni nani na Kazi yake hapa Tanzania na hata Kaka yangu nae anawajua baadhi yao hivyo ikaishia hapo na kuwa salama Kwangu"
Nukuu zote hizi za huyu Wakala nimezinukuu baada ya Kumsikiliza akiongea Mubashara EFM Radio katika Kipindi cha Michezo cha Sports Headquarters kinachoendelea sasa.
Kwa Kitendo tu cha Dada ( Wakala ) huyu Jasmine Razaq kusema kuwa alitishiwa kuwekewa Tindikali na Kutekwa GENTAMYCINE haraka sana nimeshawajua Watu Wawili Wakubwa ( Mmoja yuko Serikalini ) na Mwingine kwa mbali ( Nje ya Serikali ) ambao wanajulikana kwa Sifa hizi Mbili tokea wakiwa Watendaji wa Chama Chao Kikubwa na Kikongwe ( na ni wana Yanga SC lia lia ) hivyo sijashangaa sana.
Pole mno Dada Jasmine kwa Mtihani.