Wakalenjini na Wakikuyu wataendelea kutawala Kenya miaka mingine 20

Moi alikua chuma ndio maana Kenya ana strong exonomy in the region.
Kuwa na strong economy in the region sio sababu ya Moi.. Ni namna ya super powers ndio zinazoamua (GB na US) hao ndio wanaorun sehemu kubwa ya uchumi wa Kenya na Dunia kwa ujumla.

Unaweza ukachukulia poa, lakini kuna vitu vingi nyuma ya pazia.

Kibaki anasifika kwa major projects zilizowahi kutokea Kenya na hii demokrasia waliyo nayo sasa. Moi kwa upande wake anasifika kwa mkono wa chuma,watu wengi wamepotezwa kwenye utawala wake..Labda useme maziwa ya Moi ndio kitu pekee kizuri kwenye Era yake.
 
Najuta kupoteza muda wangu kujadili na damn pathetic fool.
 
Umeandika kwa ushabiki mkubwa sana kwa odinga kiasi cha kwamba wewe ndio uko kwenye huo ulimwengu wa kiroho unaosemea, vipi hapa kwetu bongo mama naye alikubalika kwa hao ulio wasemea wamemkubali odinga?
 
Haya majitu majinga sana.
 
Kibaki huyu huyu aliyejiapisha mwaka 2007 baada ya kushindwa na odinga. Si bora moi ajikubal kushindwa mwaka 2002 baada ya kumsapport uhuru.
 
Umeandika kwa ushabiki mkubwa sana kwa odinga kiasi cha kwamba wewe ndio uko kwenye huo ulimwengu wa kiroho unaosemea, vipi hapa kwetu bongo mama naye alikubalika kwa hao ulio wasemea wamemkubali odinga?
Naam anafanya interest zao.Hamuoni mnavyoisoma namba
 
Kura za Wakalenjini na wakikuyu tu zimetosha kumvukisha this humble God fearing gentleman. Kusema kweli Ruto anastahili kuwa Rais wa Tano Kenya. Namuombea na nitafurahivsana akashinda.
Mtaacha lini ukabila ndugu zetu. Mimi ni Pro Ruto, lakini haya mambo yenu ya kikabila yanasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…