Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni ke au meKwasasa wanahiphop wengi wanachana soft hawachani kigumu..
Ila fid q yupo vizuri kwenye line
Vyovyote vile ni freshiWe ni ke au me
Daaa!!; usinifanyie HIVYO,samahani lakini kama nimekuudhiVyovyote vile ni freshi
Fid q(mwanza mwanzaa) namkubali sana
Jina geni hilo anatokea pande zipi ungerusha hiyo clip yake tuisikilizeMimi kwa hip hop hapa bongoland nimewahi kumkubali jamaa mmoja hivi wa kuitwa roho 7 nenda kausikilize leo wimbo wake wa kitambo sana unaitwa nakupenda hip hop utajua namaanisha nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo mgeniJina geni hilo anatokea pande zipi ungerusha hiyo clip yake tuisikilize
Hip Hop bado ipo tukutane msasani club kilingeni alafu wadau watu wa media hawaithamimi Hip Hop ukitaka zama mtandaoni download ukisubii radio utakeshaImebaki Hip hop ya mtu mmoja tu, Fid Q (The City Icon) walio baki ni wabana Pua tu, na zaidi Weusi...
Sent using Jamii Forums mobile app