Wakali wa home theater na Soundbars naombeni ushauri katika hili

Wakali wa home theater na Soundbars naombeni ushauri katika hili

Hivi soundbar inauzuri gani kuzid hometheatre.

Nina sony 1000wts homtheatre. Saut yake sifikishagi hata nusu maana nikifungulia ni mtaa mzima wanasikia mdundo tu. Nyumba yenyewe inatetemeka.
Kusema ukweli Home theater ni kwa wale wanaotaka serious audio systems na soundbar ni kwa wale tunaotaka simplicity na good sound tu. Mimi napenda Soundbar na stylish yake kuliko home theater.Sasa kuna soundbar amabazo ni more powerfull ila sijui nitapata wapi kwa hapa Dar es salaam
 
Kwamba soundbar ni nzuri kuliko home theater?

Soundbar ni nzuri kwa wasiopenda mavitu mengi sebuleni.

Lakin 5 chanel(home theater) ina raha yake unapoangalia movie
Yes ni kweli kabisa,Nina Soundbar ya Sony HT 700 RF ya multchannel 5.1,1000 watts ila output yake sijaipenda.Ninataka soundbar iwe powerfull kama jbl au yamaha etc
 
Kwa hizi zetu huku bongo sound bar na home theatre labda unatafuta status tu, Ila Kama unataka muziki sikushauri kabisa , zipo nzuri Kama Harman kardon, bang olu .nk nunua nje ila zitakuwa Bei juu sana , unazungumzia mil 10 kwenda juu..

Sent
 
Yamaha wapo vizuri sana kwenye music systems, ila nilichogundua products zao hazijafika kwenye soko la bongo. Ninayo sound bar nilitoka nayo majuu hadi najilaumu kwa nini sikuchukua yenye watt kubwa zaidi..
Kuzipata sasa ndio shughuli ilipo.Nawakubali sana hawa jamaa.
 
Hapo nimekupata,bar inakuwa kama center speaker tu.Kwahiyo unashahuri nitafute tu home theater ? wewe unatumia ipi na ulinunua wapi?
Mjini niliona za sony nyingi ni zile bdv series
Me sina radio/mziki mkuu. Natumia hizi zetu za bei chee.(😀na imani ushaelewa)

Najipanga nije nipate mziki wa kueleweka. Onkyo au yamaha na mazaga zaga mengine yanayoweza kunipatia ninachokihitaji.
 
Me sina radio/mziki mkuu. Natumia hizi zetu za bei chee.(😀na imani ushaelewa)

Najipanga nije nipate mziki wa kueleweka. Onkyo au yamaha na mazaga zaga mengine yanayoweza kunipatia ninachokihitaji.
Nimekuelewa mkuu, nami ngoja nikomae nao huu wangu. Wasiojua wakiuona wanapagawa balaa ila kwa anaejua mziki mzuri hawezi tumia
 
Kwa matumizi ya nyumbani, LG au Sony zinafaa sana, sauti yake ni tulivu na nyororo, kingine hazihitaji kupangilia sana namna speakers zinavyotakiwa kupangwa. Faida nyingine ya Soundbar hazina ma wire wire, unaweza kuweka system yako TV, Soundbar hakuna cable. Hiyo kwangu ni kitu cha muimu sana.
 
LG, JVC au Sony wanakua na home theatres nzuri sana. Ukikosa kabisa tafuta Panasonic kwa dealers wake pale Clock Tower town
Kwa matyumizi ya nyumbani, LG au Sony zinafaa sana, sauti yake ni ulivu na nyororo, kingine hazihitaji kupangilia sana namna speakers zinavyotakiwa kupangwa. Faida nyingine ya Soundbar hazina ma wire wire, unaweza kuweka system yako TV, Soundbar hakuna cable. Hiyo kwangu ni kitu cha muimu sana.
 
Hivi soundbar inauzuri gani kuzid hometheatre.

Nina sony 1000wts homtheatre. Saut yake sifikishagi hata nusu maana nikifungulia ni mtaa mzima wanasikia mdundo tu. Nyumba yenyewe inatetemeka.
mkuu hiyo hometheater yako sauti yake ni stereo au ni ile mono ambayo inaungurumia ndani kwa ndani(base kubwa),vipi labda ikiunganishwa na tv sauti inatoka vizuri
 
Back
Top Bottom