The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
LG, JVC au Sony wanakua na home theatres nzuri sana. Ukikosa kabisa tafuta Panasonic kwa dealers wake pale Clock Tower town
Sina tatizo na home theatres kabisa, ila ule wingi wa speakers na kupatia mpangilio wake sahihi sio rahisi, kingine kinanipunguzia mzuka ni wingi wa nyaya. Soundbar nyingi ni wireless. Pia mziki wake laini hauumizi.