Wakali wa home theater na Soundbars naombeni ushauri katika hili

Wakali wa home theater na Soundbars naombeni ushauri katika hili

Hata mimi nakubaliana na wewe,
Sema sasa nazipataje hizi hapa nyumbani? Pesa sio tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mwanza nilikutana nazo za JBL zenye Harman's kordan rock city mall bei 2M+
Hata mimi nakubaliana na wewe,
Sema sasa nazipataje hizi hapa nyumbani? Pesa sio tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nakubaliana na wewe,
Sema sasa nazipataje hizi hapa nyumbani? Pesa sio tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilisha kutana na sample kama hiyo rock city mall, bei ilikuwa ni 2M+ ila BOSE anaweza kukuletea, ingawa nilimuliza bei ile ndogo ya kutembea nayo mkononi laki 5.
Nenda mall yoyote unapata, iwe mlimani city, benson's campony arusha, n.k
 

Attachments

  • images.jpeg-1.jpg
    images.jpeg-1.jpg
    9.5 KB · Views: 88
aiseeh kuna SONY mzee wangu (RIP) alinunua Ni Sony Hi-fi music system ni Five CD changer ile music ni nyoko dadeki kwenye kuadjust sauti ni wew tu Soft, dancehall, e.t.c hapa nataka niende nikauchukue maana nimeuhifadhi home vizur sana!!
Hivi mkuu Hi-fi ina uwezo wa kucheza DVD format za video kama vile DVD-RW?
 
Nipe details za hiyo soundbar Samsung...kuna sehemu nmeskia soundbar inapiga mziki wa kitajiri mpaka nimetamani kuondoa hii home theater yangu inaniboa makolokolo mengi

Hii ni Samsung AV Sound bar K450.

Muonekano wake ni kama huu hapa chini.

Ina sauti tulivu sana, haiumizi na si makelele lakini unaifurahia.

1631621280699.png
 
Hata hiyo ninayoisema ina speaker mbili zimeandikwa Hi-fi mzee wangu sijui aliutoaga wapi ule mziki aseeh nahisi alinunua gharama!! Ngoma ikipigwa imechujika vizur..sijawahi kumaliza volume ...hizi Sabufa zinaingia mara 1,000 kwa sound nzito na iliyochujika.
Weka picha na model.
 
Back
Top Bottom