resistor colour code
Member
- May 20, 2015
- 74
- 44
Hivi soundbar inauzuri gani kuzid hometheatre.Naweka kambi katika uzi wako mkuu, nimekuwa nikifatilia sound bars pia, nahisi kuchoka home theaters kwa kweli.
karibu mkuuNaweka kambi katika uzi wako mkuu, nimekuwa nikifatilia sound bars pia, nahisi kuchoka home theaters kwa kweli.
Kusema ukweli Home theater ni kwa wale wanaotaka serious audio systems na soundbar ni kwa wale tunaotaka simplicity na good sound tu. Mimi napenda Soundbar na stylish yake kuliko home theater.Sasa kuna soundbar amabazo ni more powerfull ila sijui nitapata wapi kwa hapa Dar es salaamHivi soundbar inauzuri gani kuzid hometheatre.
Nina sony 1000wts homtheatre. Saut yake sifikishagi hata nusu maana nikifungulia ni mtaa mzima wanasikia mdundo tu. Nyumba yenyewe inatetemeka.
Kwamba soundbar ni nzuri kuliko home theater?Naweka kambi katika uzi wako mkuu, nimekuwa nikifatilia sound bars pia, nahisi kuchoka home theaters kwa kweli.
Yes ni kweli kabisa,Nina Soundbar ya Sony HT 700 RF ya multchannel 5.1,1000 watts ila output yake sijaipenda.Ninataka soundbar iwe powerfull kama jbl au yamaha etcKwamba soundbar ni nzuri kuliko home theater?
Soundbar ni nzuri kwa wasiopenda mavitu mengi sebuleni.
Lakin 5 chanel(home theater) ina raha yake unapoangalia movie
Ubaya ni kwamba unapata saut kutokea mbele tu.Yes ni kweli kabisa,Nina Soundbar ya Sony HT 700 RF ya multchannel 5.1,1000 watts ila output yake sijaipenda.Ninataka soundbar iwe powerfull kama jbl au yamaha etc
Hapo nimekupata,bar inakuwa kama center speaker tu.Kwahiyo unashahuri nitafute tu home theater ? wewe unatumia ipi na ulinunua wapi?Ubaya ni kwamba unapata saut kutokea mbele tu.
Kuzipata sasa ndio shughuli ilipo.Nawakubali sana hawa jamaa.Yamaha wapo vizuri sana kwenye music systems, ila nilichogundua products zao hazijafika kwenye soko la bongo. Ninayo sound bar nilitoka nayo majuu hadi najilaumu kwa nini sikuchukua yenye watt kubwa zaidi..
Me sina radio/mziki mkuu. Natumia hizi zetu za bei chee.(😀na imani ushaelewa)Hapo nimekupata,bar inakuwa kama center speaker tu.Kwahiyo unashahuri nitafute tu home theater ? wewe unatumia ipi na ulinunua wapi?
Mjini niliona za sony nyingi ni zile bdv series
Nimekuelewa mkuu, nami ngoja nikomae nao huu wangu. Wasiojua wakiuona wanapagawa balaa ila kwa anaejua mziki mzuri hawezi tumiaMe sina radio/mziki mkuu. Natumia hizi zetu za bei chee.(😀na imani ushaelewa)
Najipanga nije nipate mziki wa kueleweka. Onkyo au yamaha na mazaga zaga mengine yanayoweza kunipatia ninachokihitaji.
Mkuu umejaribu lasonic l30k?Yes ni kweli kabisa,Nina Soundbar ya Sony HT 700 RF ya multchannel 5.1,1000 watts ila output yake sijaipenda.Ninataka soundbar iwe powerfull kama jbl au yamaha etc
Kwa matyumizi ya nyumbani, LG au Sony zinafaa sana, sauti yake ni ulivu na nyororo, kingine hazihitaji kupangilia sana namna speakers zinavyotakiwa kupangwa. Faida nyingine ya Soundbar hazina ma wire wire, unaweza kuweka system yako TV, Soundbar hakuna cable. Hiyo kwangu ni kitu cha muimu sana.
mkuu hiyo hometheater yako sauti yake ni stereo au ni ile mono ambayo inaungurumia ndani kwa ndani(base kubwa),vipi labda ikiunganishwa na tv sauti inatoka vizuriHivi soundbar inauzuri gani kuzid hometheatre.
Nina sony 1000wts homtheatre. Saut yake sifikishagi hata nusu maana nikifungulia ni mtaa mzima wanasikia mdundo tu. Nyumba yenyewe inatetemeka.