LG, JVC au Sony wanakua na home theatres nzuri sana. Ukikosa kabisa tafuta Panasonic kwa dealers wake pale Clock Tower town
Wajanja wanatumia HI-FI mkuu ni zaidi ya sound bar na home theatre...Hivi soundbar inauzuri gani kuzid hometheatre.
Nina sony 1000wts homtheatre. Saut yake sifikishagi hata nusu maana nikifungulia ni mtaa mzima wanasikia mdundo tu. Nyumba yenyewe inatetemeka.
aiseeh kuna SONY mzee wangu (RIP) alinunua Ni Sony Hi-fi music system ni Five CD changer ile music ni nyoko dadeki kwenye kuadjust sauti ni wew tu Soft, dancehall, e.t.c hapa nataka niende nikauchukue maana nimeuhifadhi home vizur sana!!Wajanja wanatumia HI-FI mkuu ni zaidi ya sound bar na home theatre...
Sina tatizo na home theatres kabisa, ila ule wingi wa speakers na kupatia mpangilio wake sahihi sio rahisi, kingine kinanipunguzia mzuka ni wingi wa nyaya. Soundbar nyingi ni wireless. Pia mziki wake laini hauumizi.
Sijaelewa exactly unachoulizia maana hometheatre zote zina sorrounding option so unaweza kutune btn streio na base.mkuu hiyo hometheater yako sauti yake ni stereo au ni ile mono ambayo inaungurumia ndani kwa ndani(base kubwa),vipi labda ikiunganishwa na tv sauti inatoka vizuri
Hilo nakubaliana na wewe. Wingi wa nyaya za hometheatre unaboa sana. Ila bado ni my favorite entertainment
Mkuu HI-FI ni balaa kwa miziki iliofanyiwa sound engineering vizuri unasikia kila kifaa kilichotengenezewa kwenye beat husika...kuna watu wanaitwa Onkyo..ni hatari sana unakuta radio ina speaker 2 tu lakini mziki wake ni hatari sanaaiseeh kuna SONY mzee wangu (RIP) alinunua Ni Sony Hi-fi music system ni Five CD changer ile music ni nyoko dadeki kwenye kuadjust sauti ni wew tu Soft, dancehall, e.t.c hapa nataka niende nikauchukue maana nimeuhifadhi home vizur sana!!
Hata hiyo ninayoisema ina speaker mbili zimeandikwa Hi-fi mzee wangu sijui aliutoaga wapi ule mziki aseeh nahisi alinunua gharama!! Ngoma ikipigwa imechujika vizur..sijawahi kumaliza volume ...hizi Sabufa zinaingia mara 1,000 kwa sound nzito na iliyochujika.Mkuu HI-FI ni balaa kwa miziki iliofanyiwa sound engineering vizuri unasikia kila kifaa kilichotengenezewa kwenye beat husika...kuna watu wanaitwa Onkyo..ni hatari sana unakuta radio ina speaker 2 tu lakini mziki wake ni hatari sana
zingine hata ukitune hakna kina chobadilika inatoka zaidi base kuliko stereoSijaelewa exactly unachoulizia maana hometheatre zote zina sorrounding option so unaweza kutune btn streio na base.
Zitakuwa za kichina.zingine hata ukitune hakna kina chobadilika inatoka zaidi base kuliko stereo
Kuna Tv zinasarounding na zinatoa saut nzuri sana kama lengo lako ndyo ilo.Sina tatizo na home theatres kabisa, ila ule wingi wa speakers na kupatia mpangilio wake sahihi sio rahisi, kingine kinanipunguzia mzuka ni wingi wa nyaya. Soundbar nyingi ni wireless. Pia mziki wake laini hauumizi.
Kuna Tv zinasarounding na zinatoa saut nzuri sana kama lengo lako ndyo ilo.
Hata mimi nakubaliana na wewe,Uwe na pesa tuu, sound bar JBL harman kardon inatoa kiu yote utapiga mziki hadi mtaa wa pili, BOSE hii mkasi.
Kibahili bahili nunua tu sony h theater watt 1000 -1200, changamoto zipo chache format zinagoma zingine, ujue setting ya bass n.k