Wakali wa uchambuzi wa siasa za kimataifa! IBRAHIM RAHABI vs JOSEPH KENEDY

Kyenyabasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2023
Posts
247
Reaction score
715
Namkubali sana Ibrahim Rahabi akianza kuchambua sibanduki kwenye tv mpaka nachelewa kazini,,,Dogo Joseph Kenedy nae anatisha yuko full magazine,,Je,Wewe unaonaje!?
 
Mtafute jamaa anaitwa "Thabit" youtube chanel ya Gangana utamkuta, pamoja na Azam Tv! Jamaa anatisha kama ukoma
 
Back
Top Bottom