Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

Hawa jamaa huwa sijui wnaabudu mungu gani dhaifu kiasi hiki ye ni kukaa kula tende tu wafuasi wake ndo wamsaidie kukimbizana na watu wanaokula mchana 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi naonaga hakuna mzanzibari mwenye akili,
Na ni mahala siwezi kwenda hata itokee kitu gani
 
Ubongo wako unakutuma kufikir kwamba Kila mtu amefunga sio?
kama hutaki fata taratibu zilizopo hujalazimishwa kuwepo eneo hilo. Wapishe endelea na maisha yako kwani lazima ukae hapo? Taratibu zao zinaeleweka sasa kwanini mnataka kuwalazimisha wafanye mnachotaka nyinyi.Miaka yote Zanzibar taratibu zake zinafahamika sasa sioni cha ajabu maana hii ni toka enzi na enzi
 

Unaweza kukuta uzuri huu wa kuwakata waafrika mikono uliofanywa na wachungaji wa kikristo tu

 
Hii mijitu mishetani
 
Hiyo faini ya 50,000 imeingia serikalini? Kwa hiyo hii ni kwa mujibu wa sheria ndogo ndogo za paje ambazo zimepitishwa na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar?. kama majibu yote hapo juu mi HAPANA.waliofanya hilotukio ni majambazi
 
Nipo Zanzibar aiseh kama ujafunga na upo Zanzibar make sure unanunua chakula unaweka ndani la si hivyo utakufa njaa. Nachukia sana kuona watu wakiheshimu mwezi fulani kuliko kuheshimu Mungu


Kuheshimu mungu yupi ?? huyu anayeruhusu ushoga na kukatwa waafrika mikono ?

 
Reactions: K11
Zanzibar Ni ya ki k
 
Taratibu zinasemaje huko zenji?
Taratibu ni za Tanzania, usijifanye Juha. Kwani zanzibar siku za mapumziko ni zipi? Sherehe za kitaifa ni zipi? Nyinyi wafuasi wa Shetani Allah ni waajabu sana
 
Nadhani wazenji sio waislam


Zanzibar ndiko ukristo ulikoingilia Afrika mashariki, huku kuna magoa wakristo , wahindu na wa zoroastrian wanaoabudu moto kutoka Iran na India.

Miaka yote hatujawahi kusikia mtu yoyote kula mchana wakati wa Ramadhani wala kulalamika. Sisi tukikaa hostel na hawa wakipikiwa chakula chao mchana wakati wa Ramadhani,

Toka kuja hawa wavamizi kutoka Afrika magharibi imekuwa shida , mara hawaruhusiwi kula , mara makanisa kuchomwa moto . Miafrika ni mzigo ndio mkakatwa mikono na wachungaji wa kizungu
 
Yani mtu anaamka sa10 za usiku anakula daku mchanganyiko wa...tambi...mihogo..maharagwe...magimbi...sambusa...chapati...uji...karimati...samaki...nyama...n.k halafu mchana anatuambia kafunga kula anaanza kusumbua watu....kile chakula chote alichokula sa10 za usiku wakati wengine tumelala kimetumika sa ngapi?...hakuna kitu kinachoitwa kufunga kwa mwanadamu ila ni kubadilisha mda wa kula kwahy acheni kusumbua watu na kujifanya nyie ni watakatifu zaidi....ni yesu peke yake ndiye aliyefunga kula na kunywa kwa mda wa siku 40
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…