NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Ebu toa evidence wamekubali ni Northern Tanzania. A simple google such indicates Wakanda is North of Tanzania (which is either Kenya or Uganda) or Ilemi triangle, which is the disputed region between Kenya, South Sudan and Ethiopia so sielewi ndoto zako unaziotea wapi. One of Wakanda's neighbors is Narobia which is clearly a corruption of the word Nairobi.Hata sinema zianzo sema true story kuna elements of fiction to make the story relevant. Walioandika hiyo hadithi wenye wemekubali kwamba ili base in northern Tanzania, na rasilimali zote kuanzia watu, viongozi mpaka rasilimali za chini ya ardhi vinapatikana Tanzania.
Clearly your not familiar with the principle of writing a novel or story, sio kula story inatoka kichwani and there is nothing to base on. Some fiction stories are based on real life places and real life names of people even real life situation. A writers do his/her research, survey location, talk to people just get an understanding of what their trying to writing about. Kuna kitabu kiliandikwa na Alexander McCall Smith (Lady Detective) based in Botswana, humo ndani hakutumia majina halisi lakini he elaborate everything on one particular area na ukienda hapo you'll see a village with everything the novel was based on.North of Tanzania, Black Panther is 100% fiction, Have you really watched the movie? Wakanda is as fictional as Hogwarts in Harry Porter.
Kati ya Kenya na Tanzania wapi utapata uranium, gold and may more other natural rich resources? Kenya mna dandia tu hii story.Ebu toa evidence wamekubali ni Northern Tanzania. A simple google such indicates Wakanda is North of Tanzania (which is either Kenya or Uganda) or Ilemi triangle, which is the disputed region between Kenya, South Sudan and Ethiopia so sielewi ndoto zako unaziotea wapi. One of Wakanda's neighbors is Narobia which is clearly a corruption of the word Nairobi.
View attachment 913940View attachment 913937
Let me hope you're trolling because if you're serious then you must be the most stupid person in the world right now.Kati ya Kenya na Tanzania wapi utapata uranium, gold and may more other natural rich resources? Kenya mna dandia tu hii story.
Swali kikuwa rahisi sana, je Kenya can be identified with richness of gold uranium and so? Wewe uneleta mambo ya personal. Kwani lazima Kenya kuwepo kenye picture??Let me hope you're trolling because if you're serious then you must be the most stupid person in the world right now.
We are talking about the Geographical location fool, not minerals! The geographical description of Wakanda is clearly within Kenya! If you want us to talk about minerals then the country is DRC, not Tz. I asked you to give me proof of your claims that the creators of Wakanda claim it's in Tanzania and you haven't. You're very foolish.Swali kikuwa rahisi sana, je Kenya can be identified with richness of gold uranium and so? Wewe uneleta mambo ya personal. Kwani lazima Kenya kuwepo kenye picture??
Hahaha! [emoji1] I already gave up on this circle jerk of thought from Mwanzi1, wakati mwingine inabidi tu umuache mtu na ubishi wake. Labda kuna mtu ameiba avocado yake, na unajua tu mtu akifanyiwa uhuni kama huo huwa anatafutaga mwanya wa kupunguzia hasira. [emoji23] Peace Mwanzi1, peace. 😎Let me hope you're trolling because if you're serious then you must be the most stupid person in the world right now.
Sure....saa huyu huwa na shida ya kufikiria inabidi umuache. It is difficult to win an argument against a smart person but impossible to win against an idiot.😂😂😂Hahaha! [emoji1] I already gave up on this circle jerk of thought from Mwanzi1, wakati mwingine inabidi tu umuache mtu na ubishi wake. Labda kuna mtu ameiba avocado yake, na unajua tu mtu akifanyiwa uhuni kama huo huwa anatafutaga mwanya wa kupunguzia hasira. [emoji23] Peace Mwanzi1, peace. 😎
true...lenga huyo jamaa Mwanzi1 ...huwa very poor kwa reasoningLet me hope you're trolling because if you're serious then you must be the most stupid person in the world right now.
Haha, this is delusional.We are talking about the Geographical location fool, not minerals! The geographical description of Wakanda is clearly within Kenya! If you want us to talk about minerals then the country is DRC, not Tz. I asked you to give me proof of your claims that the creators of Wakanda claim it's in Tanzania and you haven't. You're very foolish.
Where is Wakanda? Location and flag of Black Panther's homeland | Metro News
View attachment 914072
Nimeachana naye. Would you believe he's actually over 50 years old?😂😂😂😂 If he can reason like this at over 50 imagine what he was at 20😂😂😂true...lenga huyo jamaa Mwanzi1 ...huwa very poor kwa reasoning
Hapana, rais aligoma kwa mTanzania yeyote kujihusisha na mkenya mpaka wote mtakapopona ugonjwa wa funza.
Video: Matibabu ya Funza Kenya, wakenya milioni Mbili wanasumbuliwa na Funza - JamiiForums
wow he is over 50? didnt know thatNimeachana naye. Would you believe he's actually over 50 years old?😂😂😂😂 If he can reason like this at over 50 imagine what he was at 20😂😂😂
Stop pussy footing around with girlish talk, lete majibu.Nimeachana naye. Would you believe he's actually over 50 years old?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] If he can reason like this at over 50 imagine what he was at 20[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mwenye big reasoning, mbona unakimbia mada. Kenyans man, saa nyingine nawachekaga tu, the argument all brings to the table halafu mnaishia kuzikibia hata Nigerians with their crookedness hawako hivyo..true...lenga huyo jamaa Mwanzi1 ...huwa very poor kwa reasoning
wewe jizee la 50 years ila una reasoning kama ya teenager...bure kabisa! hivi nikuulize kuwepo kwa minerals kama uranium Tanzania ina uhusiana kivipi na location ya wakanda ambayo kumbuka ni fictional country..Pili, nchi nyingi tu zina natural resources eneo hili infact zaidi ya tanznia ikiwemo DRC....South Sudan pia ina resources so you dont have a point my fren... kama wakanda tunapata location yake kwasababau ya kuwepo kwa minerals basi it could be any of those two countries as well... However, we are not talking about existence of resources, we are talking abt teh georgraphical location of teh fictional country where the article clearly says that wakanda ipo north of tanzania, meaning ipo nchi ya Kenya au Uganda na sio tanzania mainland yenyewe...hivi nikuulize mzee.. una akili kweli?😀😀Wewe mwenye big reasoning, mbona unakimbia mada. Kenyans man, saa nyingine nawachekaga tu, the argument all brings to the table halafu mnaishia kuzikibia hata Nigerians with their crookedness hawako hivyo..