NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Ebu toa evidence wamekubali ni Northern Tanzania. A simple google such indicates Wakanda is North of Tanzania (which is either Kenya or Uganda) or Ilemi triangle, which is the disputed region between Kenya, South Sudan and Ethiopia so sielewi ndoto zako unaziotea wapi. One of Wakanda's neighbors is Narobia which is clearly a corruption of the word Nairobi.Hata sinema zianzo sema true story kuna elements of fiction to make the story relevant. Walioandika hiyo hadithi wenye wemekubali kwamba ili base in northern Tanzania, na rasilimali zote kuanzia watu, viongozi mpaka rasilimali za chini ya ardhi vinapatikana Tanzania.