Wakanda: Five facts about Black Panther’s country

Wakanda: Five facts about Black Panther’s country

Hata sinema zianzo sema true story kuna elements of fiction to make the story relevant. Walioandika hiyo hadithi wenye wemekubali kwamba ili base in northern Tanzania, na rasilimali zote kuanzia watu, viongozi mpaka rasilimali za chini ya ardhi vinapatikana Tanzania.
Ebu toa evidence wamekubali ni Northern Tanzania. A simple google such indicates Wakanda is North of Tanzania (which is either Kenya or Uganda) or Ilemi triangle, which is the disputed region between Kenya, South Sudan and Ethiopia so sielewi ndoto zako unaziotea wapi. One of Wakanda's neighbors is Narobia which is clearly a corruption of the word Nairobi.
Screenshot_2018-10-28-14-26-11.png
Screenshot_2018-10-28-14-22-55.png
 
North of Tanzania, Black Panther is 100% fiction, Have you really watched the movie? Wakanda is as fictional as Hogwarts in Harry Porter.
Clearly your not familiar with the principle of writing a novel or story, sio kula story inatoka kichwani and there is nothing to base on. Some fiction stories are based on real life places and real life names of people even real life situation. A writers do his/her research, survey location, talk to people just get an understanding of what their trying to writing about. Kuna kitabu kiliandikwa na Alexander McCall Smith (Lady Detective) based in Botswana, humo ndani hakutumia majina halisi lakini he elaborate everything on one particular area na ukienda hapo you'll see a village with everything the novel was based on.
 
Ebu toa evidence wamekubali ni Northern Tanzania. A simple google such indicates Wakanda is North of Tanzania (which is either Kenya or Uganda) or Ilemi triangle, which is the disputed region between Kenya, South Sudan and Ethiopia so sielewi ndoto zako unaziotea wapi. One of Wakanda's neighbors is Narobia which is clearly a corruption of the word Nairobi.
View attachment 913940View attachment 913937
Kati ya Kenya na Tanzania wapi utapata uranium, gold and may more other natural rich resources? Kenya mna dandia tu hii story.
 
Kati ya Kenya na Tanzania wapi utapata uranium, gold and may more other natural rich resources? Kenya mna dandia tu hii story.
Let me hope you're trolling because if you're serious then you must be the most stupid person in the world right now.
 
Let me hope you're trolling because if you're serious then you must be the most stupid person in the world right now.
Swali kikuwa rahisi sana, je Kenya can be identified with richness of gold uranium and so? Wewe uneleta mambo ya personal. Kwani lazima Kenya kuwepo kenye picture??
 
Swali kikuwa rahisi sana, je Kenya can be identified with richness of gold uranium and so? Wewe uneleta mambo ya personal. Kwani lazima Kenya kuwepo kenye picture??
We are talking about the Geographical location fool, not minerals! The geographical description of Wakanda is clearly within Kenya! If you want us to talk about minerals then the country is DRC, not Tz. I asked you to give me proof of your claims that the creators of Wakanda claim it's in Tanzania and you haven't. You're very foolish.

Where is Wakanda? Location and flag of Black Panther's homeland | Metro News
Screenshot_2018-10-28-16-28-32.png
 
Wakanda ni story ya kweli ya kijiji cha Gamboshi
 
Let me hope you're trolling because if you're serious then you must be the most stupid person in the world right now.
Hahaha! [emoji1] I already gave up on this circle jerk of thought from Mwanzi1, wakati mwingine inabidi tu umuache mtu na ubishi wake. Labda kuna mtu ameiba avocado yake, na unajua tu mtu akifanyiwa uhuni kama huo huwa anatafutaga mwanya wa kupunguzia hasira. [emoji23] Peace Mwanzi1, peace. 😎
 
Sure....saa huyu huwa na shida ya kufikiria inabidi umuache. It is difficult to win an argument against a smart person but impossible to win against an idiot.😂😂😂
 
We are talking about the Geographical location fool, not minerals! The geographical description of Wakanda is clearly within Kenya! If you want us to talk about minerals then the country is DRC, not Tz. I asked you to give me proof of your claims that the creators of Wakanda claim it's in Tanzania and you haven't. You're very foolish.

Where is Wakanda? Location and flag of Black Panther's homeland | Metro News
View attachment 914072
Haha, this is delusional.

You can talk about geography, politically even socially, which part Kenya can link itself with movie. The same wiki tells you the location of the story is near the border of Tanzania and Uganda.

From all the plugs they tried to plug about African and it's wealth, where does Kenya come about? And your coming with childish argument about Congob and mineral, where have you seen any one link Congo to this movie? SMH
 
Hapana, rais aligoma kwa mTanzania yeyote kujihusisha na mkenya mpaka wote mtakapopona ugonjwa wa funza.

Video: Matibabu ya Funza Kenya, wakenya milioni Mbili wanasumbuliwa na Funza - JamiiForums

You see, recognizing a problem, and its true extent, then coming out clean about it is the initial, very crucial step to remeding the problem rather than concealing it and acting like everything is okay. Kenya doesnt have the tendency of burying its head in the sand like Tanzania.

Tanzania has more of these problems than Kenya in fact. But always opts not to admit them, failing to effectively tackle the problems as a result.
You always deny the true extent of malnutrition, poverty, illiteracy, disease afflictions, economic challenges, govt corruption....and for what?

Regarding the g-gas issue, u may do not know the full extent of the problem in Tanzania, cos.....well.....
Millions of poor, rural Tanzanians are wallowing in agony as a result.
 
Nimeachana naye. Would you believe he's actually over 50 years old?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] If he can reason like this at over 50 imagine what he was at 20[emoji23][emoji23][emoji23]
Stop pussy footing around with girlish talk, lete majibu.
 
true...lenga huyo jamaa Mwanzi1 ...huwa very poor kwa reasoning
Wewe mwenye big reasoning, mbona unakimbia mada. Kenyans man, saa nyingine nawachekaga tu, the argument all brings to the table halafu mnaishia kuzikibia hata Nigerians with their crookedness hawako hivyo..
 
wewe jizee la 50 years ila una reasoning kama ya teenager...bure kabisa! hivi nikuulize kuwepo kwa minerals kama uranium Tanzania ina uhusiana kivipi na location ya wakanda ambayo kumbuka ni fictional country..Pili, nchi nyingi tu zina natural resources eneo hili infact zaidi ya tanznia ikiwemo DRC....South Sudan pia ina resources so you dont have a point my fren... kama wakanda tunapata location yake kwasababau ya kuwepo kwa minerals basi it could be any of those two countries as well... However, we are not talking about existence of resources, we are talking abt teh georgraphical location of teh fictional country where the article clearly says that wakanda ipo north of tanzania, meaning ipo nchi ya Kenya au Uganda na sio tanzania mainland yenyewe...hivi nikuulize mzee.. una akili kweli?😀😀
 
Wakanda is the combination of Banyankole from Uganda, Masai from Tanzania, Sukuma from Tanzania and Kenya, Tsusi From Rwanda and Burundi, Haya from Tanzania and Chagga from Tanzania.

Nyankole, Tsusi, Haya and Sukuma are related tribes.
I will start thread to share with you how the tribes in Tanzania are interrelated.
 
North of Tanzania!!!,,I though it was North of Nigeria..
 
Back
Top Bottom