Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Mfanyabiashara Rostam Aziz amesema kuna namna ya kuwawezesha wawekezaji wazawa ikiwemo kuwapa kazi kama za ujenzi wa Reli na Barabara kwani wapo wakandarasi wanaoweza kuzifanya kazi hizo badala ya kutegemea Wakandarasi wa Kampuni za nchi nyingine.
Ameyasema hayo wakati akizungumza katika mjadala wa Mwekezaji Mzawa atika Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo, Desemba 5, 2024
Ameyasema hayo wakati akizungumza katika mjadala wa Mwekezaji Mzawa atika Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo, Desemba 5, 2024