Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
CCM ukiwasikia gadharani jua waliisha maliza biashara, hapo wanatujulisha sasa.Mmmmmmm tuanze kwenyebarabara na madaraja hapo ukute Caspian ndio analengwa ambaye ninyeye akauze kwa wachina khaaaa soon atauziwa ATCLvery soon
Shida ni CCM, wakifa wote nchi hii itakuwa imesalimika.Shida siyo wakandarasi, shida tuliyonayo ni ukosefu wa elimu kichwani.
Tafuta Upenyo Nawe Uvuruge Miamala Uendelee Kuzibonya Raha,,Usisubiri Huruma Katika Hii "Dunia" Haina Huruma Kamwe.Hayo ya kujenga ni mambo ya mpito na inabidi tuanze kuwaza kuwa giants wa kujenga na nje sio ndani tu...., yaani tunataka ku concentrate kama nchi kwenye vijimiradi vya TARURA wakati Commanding Heights zetu ambazo zipo pale wazi na zimeshajengwa tunawapa wageni (Bandari et al)
Na hapo ukiona hivyo jamaa anajipigia chapio ili yeye kama kikaragosi cha walamba asali aendelee kupewa shavu (yaani kuangalia uzawa hata kabla ya ufanisi)
Myopic thinking unatafuta upenyo wa wewe kuweza kula makombo kwa miaka ambayo haiwezi kuzidi 70 mpaka 100 wakati vizazi na vizazi vinakuja kujutia na kuishi kama watumwa na ombaomba kwao....Tafuta Upenyo Nawe Uvuruge Miamala Uendelee Kuzibonya Raha,,Usisubiri Huruma Katika Hii "Dunia" Haina Huruma Kamwe.
Kwani Hadi Wewe Upo Kuna Vizazi Vingapi Vimepita?Hao Nao Watepewa Na Ulimwengu Kama Kizazi Chako Cha Sasa Kinavyopewa,,Ulimwengu Haujawahi Na Kamwe Hautakuja Kuishiwa Kizazi Na Kukipa Hicho Kizazi Namna Ya Kuishi Kamwe,,,Tumia Wakati Wako Vizuri Hata Kama Ni Sekunde Achana Na Hiyo Miaka 100<>70Myopic thinking unatafuta upenyo wa wewe kuweza kula makombo kwa miaka ambayo haiwezi kuzidi 70 mpaka 100 wakati vizazi na vizazi vinakuja kujutia na kuishi kama watumwa na ombaomba kwao....
Unadhani waasisi wangekuwa na fikra kama zako sasa hivi hata huo upenyo ungeupata wapi ?
Kama taifa inabidi kuwaza makubwa na sio kuendelea kuganga njaa... Na kama Africa kwa ujumla inabidi tuelewe Clans can not Defeat Empires; Ingawa mtu kama huyu porojo anazopiga sio za common mwananchi bali croonies wa wale wale walamba asali (waliotuletea kina Dowans et al)
Aisee unaongelea nini hapa ? Unaongelea mambo ambayo PAN Africanists wamekuwa wakipigana na kugombania ili Afrika iondokane na utumwa na kuibiwa na kufanywa takataka alafu sasa hivi watu wanagawa na kutoa vitu on silver platter ? Kwamba vizazi vilivyopita vilipewa viwe Watumwa na wengine kutumia maisha yao yote kujikomboa wao na vizazi vijavyo ili sisi tuje tupoteze mali ya vizazi vijavyo ?Kwani Hadi Wewe Upo Kuna Vizazi Vingapi Vimepita?Hao Nao Watepewa Na Ulimwengu Kama Kizazi Chako Cha Sasa Kinavyopewa,,
Ndio hapo nakwambia kwanza Mababu zako walipewa utumwa (na walipewa na nani ali walishurutishwa na kunyanganywa mali zao), wakapigana na kuondokana nao na sasa hivi Uhuru wa Bendera, Vibaraka na Imprelialism..., hayo hayawezi yakaondolewa na mtu mmoja mmoja bali as a unit and to be precise yanahitaji Uongozi Bora sababu Watu tunao...Ulimwengu Haujawahi Na Kamwe Hautakuja Kuishiwa Kizazi Na Kukipa Hicho Kizazi Namna Ya Kuishi Kamwe,,,Tumia Wakati Wako Vizuri Hata Kama Ni Sekunde Achana Na Hiyo Miaka 100<>70
Nani Amekudanganya Una Uhuru Wewe??Acha KuotaAisee unaongelea nini hapa ? Unaongelea mambo ambayo PAN Africanists wamekuwa wakipigana na kugombania ili Afrika iondokane na utumwa na kuibiwa na kufanywa takataka alafu sasa hivi watu wanagawa na kutoa vitu on silver platter ? Kwamba vizazi vilivyopita vilipewa viwe Watumwa na wengine kutumia maisha yao yote kujikomboa wao na vizazi vijavyo ili sisi tuje tupoteze mali ya vizazi vijavyo ?
Ndio hapo nakwambia kwanza Mababu zako walipewa utumwa (na walipewa na nani ali walishurutishwa na kunyanganywa mali zao), wakapigana na kuondokana nao na sasa hivi Uhuru wa Bendera, Vibaraka na Imprelialism..., hayo hayawezi yakaondolewa na mtu mmoja mmoja bali as a unit and to be precise yanahitaji Uongozi Bora sababu Watu tunao...
Uhuru maana yake nini ? Au hata hilo haujui ? Binafsi nina uhuru sababu kila nachotaka kufanya nakifanya and by the way ndio maana hapo juu nimekwambia kama nchi kuna Uhuru wa Bendera au hata kusoma hujui ?Nani Amekudanganya Una Uhuru Wewe??Acha Kuota
Tuzidi kufunga na kuomba waendele kung'ata mashuka huko CCM..Shida ni CCM, wakifa wote nchi hii itakuwa imesalimika.
Haya!!Uhuru maana yake nini ? Au hata hilo haujui ? Binafsi nina uhuru sababu kila nachotaka kufanya nakifanya and by the way ndio maana hapo juu nimekwambia kama nchi kuna Uhuru wa Bendera au hata kusoma hujui ?
Yupo sahii sana. Wawezeshe watafanya. Hizo Chinese companies tunazoziona ni state owned companies so sina muscles ya kutosha. Mzawa hawezi compete nazo bila kupata state support.Mfanyabiashara Rostam Aziz amesema kuna namna ya kuwawezesha wawekezaji wazawa ikiwemo kuwapa kazi kama za ujenzi wa Reli na Barabara kwani wapo wakandarasi wanaoweza kuzifanya kazi hizo badala ya kutegemea Wakandarasi wa Kampuni za nchi nyingine.
Ameyasema hayo wakati akizungumza katika mjadala wa Mwekezaji Mzawa atika Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo, Desemba 5, 2024