central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
[emoji122]MdauI think Mawazo ya Jay Mo na Album ya Solo Thang ilikua na track ya Mambo ya Pwani
Mkuu unalopoka au ume research..............Cowobama / mangwair hakuwa king of freestyle maana chid benzino alikuwa anamzidi bado hata nikkimbishi yuko mbali sanaaaaa
Na yeye alikuwa anakuja na best yake sio?Alikuwa anakujaga hostel kumfata best yangu
Ilikuwa kimya kimya hiyo..Na yeye alikuwa anakuja na best yake sio?
Chid Benz alipigwa K.O pale pale Ilala, Kamuulize Fid Q. Nikki Mbishi??[emoji3][emoji3]Cowobama / mangwair hakuwa king of freestyle maana chid benzino alikuwa anamzidi bado hata nikkimbishi yuko mbali sanaaaaa
Fid mtamuonea, si freestyler hata kidogo.Chid Benz alipigwa K.O pale pale Ilala, Kamuulize Fid Q. Nikki Mbishi??[emoji3][emoji3]
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Na yeye alikuwa anakuja na best yake sio?
Kwenye Cnn aliomba kurudia vesi, Akafungua nyimbo, Lkn alikula comeback moja matata, the rest is history. Ngwair[emoji119]Fid mtamuonea, si freestyler hata kidogo.
Kwa kuandika ngosha hana mpinzani, hata hiyo verse yake kwenye CNN si ya kitoto, mbona verse kali tu.Kwenye Cnn aliomba kurudia vesi, Akafungua nyimbo, Lkn alikula comeback moja matata, the rest is history. Ngwair[emoji119]
Usiniite half man,niite man a half. Hapa kapaniki tu na kujisifia. Kumbuka ngoma ni ya kula bata.[emoji3]K
Kwa kuandika ngosha hana mpinzani, hata hiyo verse yake kwenye CNN si ya kitoto, mbona verse kali tu.
Kujitamba kwenye hip hop kawaida saana..Usiniite half man,niite man a half. Hapa kapaniki tu na kujisifia. Kumbuka ngoma ni ya kula bata.[emoji3]
Cowbama[emoji91]
Ni verse Kali sawa lakini alikua off topic ...Ngoma inahusu ku party ,Kula bata ...afu ngosha analeta mambo ya philosophy.....kwa kifupi alifunikwa Ile mbayaK
Kwa kuandika ngosha hana mpinzani, hata hiyo verse yake kwenye CNN si ya kitoto, mbona verse kali tu.
Sure mkuu Yan ngosha alienda off topic ......Yan alifichwa mnooUsiniite half man,niite man a half. Hapa kapaniki tu na kujisifia. Kumbuka ngoma ni ya kula bata.[emoji3]
Cowbama[emoji91]