Wakati a.k.a mimi Album ya Albert Mangwair ikichukua album bora, Ilishindana na Album zipi?

Wakati a.k.a mimi Album ya Albert Mangwair ikichukua album bora, Ilishindana na Album zipi?

Kujitamba kwenye hip hop kawaida saana..
Weka verse zoote mzee.. ngosha hakuharibu.
Hv umemuelewa jamaa kwel

Ngosha alienda off topic Ngoma km cnn ilihitaji MTU kama jaymoe au Mr blue ndo ungeona watu wanavyojua ku stick kwenye topic
 
Ni verse Kali sawa lakini alikua off topic ...Ngoma inahusu ku party ,Kula bata ...afu ngosha analeta mambo ya philosophy.....kwa kifupi alifunikwa Ile mbaya
Yes, hakuzungumzia kula bata.. sahihi, off topic, ilasi verse mbovu,wala flow mbaya.
 
Hv umemuelewa jamaa kwel

Ngosha alienda off topic Ngoma km cnn ilihitaji MTU kama jaymoe au Mr blue ndo ungeona watu wanavyojua ku stick kwenye topic
Mchopanga ingekuwa kesi[emoji91][emoji91][emoji91](kimya kimya,cheza kwa step)
 
Sure mkuu Yan ngosha alienda off topic ......Yan alifichwa mnoo
Bada tu-party akaleta habari zingine, namkubali sana kubanda ila humu alipotea na ndio kuna vesi alifua, na alifungua ngoma lkn wapi. Rest easy cowbama[emoji3][emoji119]
 
Yule mganga wa kienyeji Manyaunyau ingekuwa Ulaya angefungwa mamaae zake. Sijui yuko wapi siku hizi! Yule mbuzi alikuwa anatoka Mwananyamala kwa miguu, anapita Manzese mpaka Mabibo, njiani anakamata paka anachlnja ananyonya damu. That guy was fookin crazy man. Can yuo imagine?
Hii ina uhusiano gn na hii mada ya leo?
 
Back
Top Bottom