Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Hv umemuelewa jamaa kwelKujitamba kwenye hip hop kawaida saana..
Weka verse zoote mzee.. ngosha hakuharibu.
Ngosha alienda off topic Ngoma km cnn ilihitaji MTU kama jaymoe au Mr blue ndo ungeona watu wanavyojua ku stick kwenye topic