Hv umemuelewa jamaa kwelKujitamba kwenye hip hop kawaida saana..
Weka verse zoote mzee.. ngosha hakuharibu.
Yes, hakuzungumzia kula bata.. sahihi, off topic, ilasi verse mbovu,wala flow mbaya.Ni verse Kali sawa lakini alikua off topic ...Ngoma inahusu ku party ,Kula bata ...afu ngosha analeta mambo ya philosophy.....kwa kifupi alifunikwa Ile mbaya
Huenda wewe hujanielewa mimi... tuachie hapo mzee.Hv umemuelewa jamaa kwel
Ngosha alienda off topic Ngoma km cnn ilihitaji MTU kama jaymoe au Mr blue ndo ungeona watu wanavyojua ku stick kwenye topic
Huyo Ngwair??Alikuwa anakujaga hostel kumfata best yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na yeye alikuwa anakuja na best yake sio?
Mchopanga ingekuwa kesi[emoji91][emoji91][emoji91](kimya kimya,cheza kwa step)Hv umemuelewa jamaa kwel
Ngosha alienda off topic Ngoma km cnn ilihitaji MTU kama jaymoe au Mr blue ndo ungeona watu wanavyojua ku stick kwenye topic
Bada tu-party akaleta habari zingine, namkubali sana kubanda ila humu alipotea na ndio kuna vesi alifua, na alifungua ngoma lkn wapi. Rest easy cowbama[emoji3][emoji119]Sure mkuu Yan ngosha alienda off topic ......Yan alifichwa mnoo
Hii ina uhusiano gn na hii mada ya leo?Yule mganga wa kienyeji Manyaunyau ingekuwa Ulaya angefungwa mamaae zake. Sijui yuko wapi siku hizi! Yule mbuzi alikuwa anatoka Mwananyamala kwa miguu, anapita Manzese mpaka Mabibo, njiani anakamata paka anachlnja ananyonya damu. That guy was fookin crazy man. Can yuo imagine?
NdioHuyo Ngwair??