Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tanzania Chini ya Uongozi wa Serikali ya CCM itaendelea kupiga MatchTime. Yaani kwenda mbele na nyuma huku hali za wanyonge zikiendelea kudidimia siku hadi siku.
Inasikitisha sana kuona viongozi tulionao wanaona ni sawa kuongeza nafasi za vyeo na wala sio nafasi za Fursa za kiuchumi uwekezaji na kutoa huduma za kijamii.
Akieleza Mwenyekiti wa Tume ya muungano wa Watetezi wa haki za binadamu Bwana Olengurumwa, ametanabaisha kwa kusema Mwaka 2015 Serikali iliongeza takribani majimbo Mapya ya Uchaguzi. Hata hivyo February 28 mwaka huu imetangaza tena kufanya uchunguzi ili kuona namna gani kuongeza na kugawa baadhi ya Majimbo.
Inatafakarisha sana kwani kwa sasa watanzania hawahitaji Msururu na Lundo la viongozi badala yake hata hao waliopo ni wengi mno na tija yao haiaksi matokeo ya kazi zao.
Watetetezi TV online imetoa wito kwa Watanzania kushiriki kutafakari jambo hilo.
View: https://youtu.be/aJ-vZ2oM0og?si=xME0KLVDChqQ5epQ