Pre GE2025 Wakati ambao Watanzania wanakabiliana na Hali mbaya ya kiuchumi, Serikali ya CCM inaongeza majimbo, 2015 iliongeza majimbo 25

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tanzania Chini ya Uongozi wa Serikali ya CCM itaendelea kupiga MatchTime. Yaani kwenda mbele na nyuma huku hali za wanyonge zikiendelea kudidimia siku hadi siku.

Inasikitisha sana kuona viongozi tulionao wanaona ni sawa kuongeza nafasi za vyeo na wala sio nafasi za Fursa za kiuchumi uwekezaji na kutoa huduma za kijamii.

Akieleza Mwenyekiti wa Tume ya muungano wa Watetezi wa haki za binadamu Bwana Olengurumwa, ametanabaisha kwa kusema Mwaka 2015 Serikali iliongeza takribani majimbo Mapya ya Uchaguzi. Hata hivyo February 28 mwaka huu imetangaza tena kufanya uchunguzi ili kuona namna gani kuongeza na kugawa baadhi ya Majimbo.

Inatafakarisha sana kwani kwa sasa watanzania hawahitaji Msururu na Lundo la viongozi badala yake hata hao waliopo ni wengi mno na tija yao haiaksi matokeo ya kazi zao.

Watetetezi TV online imetoa wito kwa Watanzania kushiriki kutafakari jambo hilo.

View: https://youtu.be/aJ-vZ2oM0og?si=xME0KLVDChqQ5epQ

Marekani yenye population ya watu takribani 347 million (na GDP ya takribani $29 trillion) ina Congress yenye watu 538. Tanzania yenye population ya watu takribani 70 million (na GDP ya takribani $79 billion) ina Bunge lenye watu 393. Baada ya uchaguzi unaokuja mwaka huu idadi yao lazima itazidi watu 400. Tumtafuteni aliyeturoga ili aturogorowe (kama Kurogorowa nalo ni neno la Kiswahili)!
 
Siku nyingine rais akifia madarakani nchi inatakiwa kurudi kwenye uchaguzi mkuu.

Hayo yote mnayoyapitia ni damage ambayo chanzo chake ni ushenzi wa October 2020.
 
Baada ya uchaguzi unaokuja mwaka huu idadi yao lazima itazidi watu 400. Tumtafuteni aliyeturoga ili aturogorowe (kama Kurogorowa nalo ni neno la Kiswahili)!
Mkuu Pulchra Animo.

Kwa kuwa hakuna kiswahili cha kurogorowa sidhani kama tutamoata wa kuturogorowa
 
Tanzania Chini ya Uongozi wa Serikali ya CCM itaendelea kupiga MatchTime. Yaani kwenda mbele na nyuma huku hali za wanyonge zikiendelea kudidimia siku hadi siku.

Inasikitisha sana kuona viongozi tulionao wanaona ni sawa kuongeza nafasi za vyeo na wala sio nafasi za Fursa za kiuchumi uwekezaji na kutoa huduma za kijamii.

Akieleza Mwenyekiti wa Tume ya muungano wa Watetezi wa haki za binadamu Bwana Olengurumwa, ametanabaisha kwa kusema Mwaka 2015 Serikali iliongeza takribani majimbo Mapya ya Uchaguzi. Hata hivyo February 28 mwaka huu imetangaza tena kufanya uchunguzi ili kuona namna gani kuongeza na kugawa baadhi ya Majimbo.

Inatafakarisha sana kwani kwa sasa watanzania hawahitaji Msururu na Lundo la viongozi badala yake hata hao waliopo ni wengi mno na tija yao haiaksi matokeo ya kazi zao.

Watetetezi TV online imetoa wito kwa Watanzania kushiriki kutafakari jambo hilo.

View: https://youtu.be/aJ-vZ2oM0og?si=xME0KLVDChqQ5epQ

View: https://x.com/millardayo/status/1899786012714258909?t=B1is86E6-fVcGYjwvl86EA&s=19
 
Siku nyingine rais akifia madarakani nchi inatakiwa kurudi kwenye uchaguzi mkuu.

Hayo yote mnayoyapitia ni damage ambayo chanzo chake ni ushenzi wa October 2020.
Kuna uhusiano wa october 20w0 na haya?
 
Kwa idadi yetu, tulipaswa kuwa na Wabunge wasiozidi 150,000 ili mbunge mmoja awakilishe wananchi 500,000. tu!
 
Waheshimiwa ni washindi wa uchaguzi kwa kupigiwa kura na wananchi. Madiwani, wabunge na raisi. Lakini kati ya hao ni raisi tu mwenye mamlaka! Kosa liko hapo na sio idadi ya majimbo, yawe mengi au machache haina mantiki kwa nchi yetu.

"OFISI YA RAIS,TAWALA ZA MIKOA NA SEREKALI ZA MITAA" ni mbinu kiutawala ya wakoloni (ukuu wa mkoa, ukuu wa wilaya n.k) inayotumiwa na Serekali iyopo madarakani hapa J.M.Tanzania kuwakandamiza na kuwadhibiti wananchi. Ni ya kufutwa! Katiba mpya pekee ndio itafanya hivi, tunaweza kuwa na Serekali za wilaya zinazochaguliwa na wananchi.
 
Tanzania Chini ya Uongozi wa Serikali ya CCM itaendelea kupiga MatchTime. Yaani kwenda mbele na nyuma huku hali za wanyonge zikiendelea kudidimia siku hadi siku.

Inasikitisha sana kuona viongozi tulionao wanaona ni sawa kuongeza nafasi za vyeo na wala sio nafasi za Fursa za kiuchumi uwekezaji na kutoa huduma za kijamii.

Akieleza Mwenyekiti wa Tume ya muungano wa Watetezi wa haki za binadamu Bwana Olengurumwa, ametanabaisha kwa kusema Mwaka 2015 Serikali iliongeza takribani majimbo Mapya ya Uchaguzi. Hata hivyo February 28 mwaka huu imetangaza tena kufanya uchunguzi ili kuona namna gani kuongeza na kugawa baadhi ya Majimbo.

Inatafakarisha sana kwani kwa sasa watanzania hawahitaji Msururu na Lundo la viongozi badala yake hata hao waliopo ni wengi mno na tija yao haiaksi matokeo ya kazi zao.

Watetetezi TV online imetoa wito kwa Watanzania kushiriki kutafakari jambo hilo.

View: https://youtu.be/aJ-vZ2oM0og?si=xME0KLVDChqQ5epQ

Kwa uchaguzi upi? Kiburi wenda kinawadanganya sana
 
Back
Top Bottom