Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu na Harmonizer hakosi jimbo.Kwa hiyo kina babu tale wanaenda kuongezeka bungeni🐼
Na wao ni WatanganyikaYaani hawa jamaa wanaigeza Tanganyika kama chapati - watakavyo.
Wakoloni weusiNa wao ni Watanganyika
Kaburu ni kaburu tu hata akiwa Mweusi.Wakoloni weusi
Aisee... Kwa hiyo wataongeza kila baada ya miaka 10 hadi yafike majimbo mangapi? Hakuna ukomo au hadi kila mtaa uwe jimbo?Kanuni zao zinasema kila baada ya miaka 10 wataongeza
Tanzania ni kubwa sana hazitajaa leo wala keshoAisee... Kwa hiyo wataongeza kila baada ya miaka 10 hadi yafike majimbo mangapi? Hakuna ukomo au hadi kila mtaa uwe jimbo?
Tanzania Chini ya Uongozi wa Serikali ya CCM itaendelea kupiga MatchTime. Yaani kwenda mbele na nyuma huku hali za wanyonge zikiendelea kudidimia siku hadi siku.
Inasikitisha sana kuona viongozi tulionao wanaona ni sawa kuongeza nafasi za vyeo na wala sio nafasi za Fursa za kiuchumi uwekezaji na kutoa huduma za kijamii.
Akieleza Mwenyekiti wa Tume ya muungano wa Watetezi wa haki za binadamu Bwana Olengurumwa, ametanabaisha kwa kusema Mwaka 2015 Serikali iliongeza takribani majimbo Mapya ya Uchaguzi. Hata hivyo February 28 mwaka huu imetangaza tena kufanya uchunguzi ili kuona namna gani kuongeza na kugawa baadhi ya Majimbo.
Inatafakarisha sana kwani kwa sasa watanzania hawahitaji Msururu na Lundo la viongozi badala yake hata hao waliopo ni wengi mno na tija yao haiaksi matokeo ya kazi zao.
Watetetezi TV online imetoa wito kwa Watanzania kushiriki kutafakari jambo hilo.
View: https://youtu.be/aJ-vZ2oM0og?si=xME0KLVDChqQ5epQ
Mkuu Pulchra Animo.Baada ya uchaguzi unaokuja mwaka huu idadi yao lazima itazidi watu 400. Tumtafuteni aliyeturoga ili aturogorowe (kama Kurogorowa nalo ni neno la Kiswahili)!
Tanzania Chini ya Uongozi wa Serikali ya CCM itaendelea kupiga MatchTime. Yaani kwenda mbele na nyuma huku hali za wanyonge zikiendelea kudidimia siku hadi siku.
Inasikitisha sana kuona viongozi tulionao wanaona ni sawa kuongeza nafasi za vyeo na wala sio nafasi za Fursa za kiuchumi uwekezaji na kutoa huduma za kijamii.
Akieleza Mwenyekiti wa Tume ya muungano wa Watetezi wa haki za binadamu Bwana Olengurumwa, ametanabaisha kwa kusema Mwaka 2015 Serikali iliongeza takribani majimbo Mapya ya Uchaguzi. Hata hivyo February 28 mwaka huu imetangaza tena kufanya uchunguzi ili kuona namna gani kuongeza na kugawa baadhi ya Majimbo.
Inatafakarisha sana kwani kwa sasa watanzania hawahitaji Msururu na Lundo la viongozi badala yake hata hao waliopo ni wengi mno na tija yao haiaksi matokeo ya kazi zao.
Watetetezi TV online imetoa wito kwa Watanzania kushiriki kutafakari jambo hilo.
View: https://youtu.be/aJ-vZ2oM0og?si=xME0KLVDChqQ5epQ
Kuna uhusiano wa october 20w0 na haya?Siku nyingine rais akifia madarakani nchi inatakiwa kurudi kwenye uchaguzi mkuu.
Hayo yote mnayoyapitia ni damage ambayo chanzo chake ni ushenzi wa October 2020.
Inasikitisha sana.Makosa ambayo hayana athari mtu analimwa miaka lukuki. Mafisadi wanatoza faini laki tano tu😅😅😅
Zinawenyewe ,watu wanatembea na fomu zao kwapaniWaongeze ili tugombee hizo nafasi.