Pre GE2025 Wakati ambao Watanzania wanakabiliana na Hali mbaya ya kiuchumi, Serikali ya CCM inaongeza majimbo, 2015 iliongeza majimbo 25

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Matumizi mabaya na ya hovyo kabisa ya kodi za wananchi
 
Mmoja wa wanufaika watarajiwa wa kuvunja majimbo ni Tulia Ackson. Inatafutwa kila namna abebwe. Sijui wanajishtukia nini kumuiga JPM kwenye ule uchafuzi wake wa 2020, wakati utekaji na udhalimu mwingine wanamuiga!
 
Inashangaza sana
 
Kwa idadi yetu, tulipaswa kuwa na Wabunge wasiozidi 150,000 ili mbunge mmoja awakilishe wananchi 500,000. tu!
Hii hesabu yako ina maana Watanzania tuko 75,000,000,000 au mimi ndiyo sijakusoma vizuri mkuu?
 
No reforms no election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…