Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Tuweke Ushabiki kando.
Hii ligi yetu inaelekea wapi.
Timu za Arsenal na Manchester City tunazozifahamu wengi wetu. Ni timu zilizo kwny nafasi za juu kwenye ligi ya Uingereza.
Ni timu zilizo na falsafa ya kuchezea na kumiliki mpira wakati mwingi.
Sasa Inakuwaje timu hizo hadi leo hii zimepewa na waamuzi penalties 2 @, katika michezo 23 za ligi yao. ...huku ikijulikana kuwa timu zinacheza soka kushambulia...
Halafu muda huohuo Simba Sc ya Tanzania hadi sasa imepatiwa na waamuzi penalties 8 kwenye mechi 16....?
Hii ni wastani wa penalty moja kila baada ya mechi mbili.
Na Katika penalties nane hizo, 6 ni penalties za kuamua matokeo....yaani zilitolewa dakika za jiooni.?
Kwa mfano mechi ya Dodoma Jiji.
Katika mechi zake hizo Simba Sc, waamuzi hawajawahi kuruhusu penalty yeyote ipigwe kuelekezwa langoni mwake...je ina maana backline ya Simba haina mapungufu yeyote?
Mbona kwa wenzetu hali ni tofauti,
Mathalani timu hizi ni giant lakini waamuzi wao wamekuwa na ujasiri wa kutoa penalties dhidi yao.
Chelsea imeruhusu penalties 6
Arsenal imeruhusu penalties 2
Man City imeruhusu 3
NB naposema "kuruhusu" simaanishi kuruhusu penalty ya kujitakia..
Yanga wao nitadili nao kesho.