Wakati Azam anatawanywa leo Simba wajiandae tarehe 8

Wakati Azam anatawanywa leo Simba wajiandae tarehe 8

hii gari ya mkaa trip mbili za shamba imeshajiona inaweza kwenda masafa ya mbali
kumbe leo ni gereji ikibisha tutaikuta juu ya mawe
Mbaula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu habari zenu
hapana shaka Simba aka Jobo wamekalia kiti cha uongozi wa ligi kwa muda lkn nimeona wana kelele mingi koko hawa....!!

Leo jioni tunachukua pointi tatu muhimu kutoka kwa Azam na kurudi kwenye makazi yetu. Meanwhile nawakumbusha Simba wajiandae kisaikolojia tar 8/05/2021 tunawabinua.

Poleni kwa kuwapa taarifa mapema najua mudi zenu lazima ziharibike.... mnakaribishwa kutoa mapovu manake ni sumu ile....

Naaam naaaam naaaam
Wape salam
 
Mmm hiyo ndugu ndo imetoka kabisaa, na ushauri wa bure ni kwamba naomba kabla ya mech kuanza ule chakula Cha jion maana utakosa ham bureee

Mkuu ulikumbuka kula kabla ya mech?
 
Lait kama anagekua mtabgazaji ni baraka mpenja mambo yangekua hivi
dakika za kikatili
Prince dube mkatili
Dar yanga Africa ana wakatili
Whaooo
what a goal
what a shoot
what a rocket
 
Back
Top Bottom