Wee ndugu unatuaibisha wakongwe wa JF. Tangu miaka ya 2009 tulikuwa tunakuelekeza namna ya kuweka maandishi vizuri, lakini bado kichwa kimekuwa kizito kupokea maelekezo. Vipi suka wa taxi za Airport, bado, tu hujui kuandika?Wakati benchika akiwasili niliandkkaaa matolaaakiwa simbaa na kocha wa kithungu msahau ubingwa mmenielewa??wataaga mpaka wakokeee
HahahahaaWee ndugu unatuaibisha wakongwe wa JF. Tangu miaka ya 2009 tulikuwa tunakuelekeza namna ya kuweka maandishi vizuri, lakini bado kichwa kimekuwa kizito kupokea maelekezo. Vipi suka wa taxi za Airport, bado, tu hujui kuandika?
View attachment 2977205
Mkuu big up!Dj nipe huu wimboo wa nigeriaaa ambaoo wanaimba wana simba mdaa huu.
By the grace of god I shall win this battle x3.
Rejea kichwa cha habari hapo juu Benchika akiwasili niliandkka msahau kombe kama matola yuko pale Simba mshinde kombe never n ever.
Jiulizeni wanaokuja wote wanaoondoka wanamwacha shida nini.