Wakati bongo tukizisubiri ndege 2 za mkoa hadi mkoa, Kenya kuna ndege za jijini Nairobi

Wakati bongo tukizisubiri ndege 2 za mkoa hadi mkoa, Kenya kuna ndege za jijini Nairobi

View attachment 393447

Wana bodi serikali ya Kenya inazidi kuwajengea wananchi wake uhakika wa safari za jijini Nairobi baada ya kuanzisha safari za ndege aina ya helkopta kama tax.

Haya ni maendeleo makubwa sana kwa jiji la Nairobi, sisi sijui ndege zetu zitaingia lini ili nasi tujidai kupata usafiri wa DSM-Kibondo!
Leo umegonga mwamba.
 
I am hoping you all know how uber works

Mimi kama mkenya nikiwa na gari langu najisajili kwao wananipa simu na naanza kupokea wateja ndege hizi ni za wakenya uber imewasajili wabebe watu around Nairobi
 
Kuna baadhi ya nchi zilidhani kuwa TANZANIA tutaendelea kulala usingizi sasa tumeamka na kuanza kukimbia gafla tunawashtua. Si haba bora tuanze na za kwetu wenyewe mbili tutaoneza kadiri ya mahitaji na uwezo lakini majirani wetu wajue pamoja na kutangulia spidi tunayokuja nayo sasa hivi tunawapigia indicator.
 
but still it's worthy to mention that Kenya airways has a total of 58 jets /large aeroplanes and 18 Boeing 737 dreamliner on order between now and 2024 while Tanzania has 1 and two on order.
.....
 
Ufisadi tu na kusafirisha madawa ya kulevya akuna kuna kitu hapo .kwanza zinaleta kelele mijini upumbavu mtupu
 
kuna kampuni inaitwa corporate helicopters, hao wamekua kenya tangu 2005, wanafanya safari za aina yoyote hata za kuzungusha nairobi ili uone mji... hahao ndo wameungana na uber

Helicopter Charter | Helicopter Charter

14222258_348306898842553_2932129956660426934_n.jpg
 
View attachment 393447

Wana bodi serikali ya Kenya inazidi kuwajengea wananchi wake uhakika wa safari za jijini Nairobi baada ya kuanzisha safari za ndege aina ya helkopta kama tax.

Haya ni maendeleo makubwa sana kwa jiji la Nairobi, sisi sijui ndege zetu zitaingia lini ili nasi tujidai kupata usafiri wa DSM-Kibondo!

!
!
tuko bize na viwanda vya mifuko ya jamii
 
Huku tunabana upinzani kwanza,maendeleo baadae
 
View attachment 393447

Wana bodi serikali ya Kenya inazidi kuwajengea wananchi wake uhakika wa safari za jijini Nairobi baada ya kuanzisha safari za ndege aina ya helkopta kama tax.

Haya ni maendeleo makubwa sana kwa jiji la Nairobi, sisi sijui ndege zetu zitaingia lini ili nasi tujidai kupata usafiri wa DSM-Kibondo!
Wewe unaweza kukodi ndege kukutoa eneo moja hadi lingine jijini kwako? (kama upo jijini) au kujishaua tu

Halafu hizo ni za Uber
 
Wewe unaweza kukodi ndege kukutoa eneo moja hadi lingine jijini kwako? (kama upo jijini) au kujishaua tu

Halafu hizo ni za Uber
Hizo zinatumika kama tax wewe kiumbe watu tunapanda kila siku, wewe kalia trl ya ubungo kariakoo
 
Ufisadi tu na kusafirisha madawa ya kulevya akuna kuna kitu hapo .kwanza zinaleta kelele mijini upumbavu mtupu
Utabakia kutoa mapovu tu
 
Sie tunasubiri wakati wa Kampeni tu...

Ila Helicoter zipo sana Dar Pesa yako tu wanakurush airport au Hotelin or kula round tu pale Holiday inn na kule Masaki...

Namkumbuka Filukunjombe.

Back
Top Bottom