Wakati bongo tukizisubiri ndege 2 za mkoa hadi mkoa, Kenya kuna ndege za jijini Nairobi

Wakati bongo tukizisubiri ndege 2 za mkoa hadi mkoa, Kenya kuna ndege za jijini Nairobi

View attachment 393447

Wana bodi serikali ya Kenya inazidi kuwajengea wananchi wake uhakika wa safari za jijini Nairobi baada ya kuanzisha safari za ndege aina ya helkopta kama tax.

Haya ni maendeleo makubwa sana kwa jiji la Nairobi, sisi sijui ndege zetu zitaingia lini ili nasi tujidai kupata usafiri wa DSM-Kibondo!

Unaleta UCHOCHEZI, hahahahahahahaha BONGO KICHWA CHA MWENDAWAZIMU UKILETA HOJA NGUMU wanakudaka na UCHOCHOZEI
 
Mbona hayo mambo ya maelkopta Tanzania yapo muda mreefu sana kama hamjui kitu tafadhali muwe mnauliza.
Mpaka BBC wanajua Tanzania inatumia usafiri binafsi wa elkopta kama taxi.

 
Binafsi simkubali Magufuli ila sioni sababu ya kuanzisha thread ya aina hii, siri ya kuendelea ni kujikubali pamoja na mapungufu yako. Kenya ni Kenya na Tz ni Tz
Kwani hata wanavyotuponda hapa ni kama wanatupenda. Maana wao kwa wao wakikutana kwenye maslahi yaani mkamba na mjaluo wana chuki ya kuuwana
 
Bongo zipo za Private wale Everest Aviation's I think dola 100 kwa SAA Kenya wako vizur kila sector
1473281018961.png
 
Back
Top Bottom